Y
Hizi story zingine unakaa unajuliza hivi kuna Miungu wangapi? maana ni kama sisi wengine hatuna Mungu sasa amwagizie Joshua wa nini si angewamaliza yeye tu. Mambo mengine yaacheni tu sio kila unalosoma basi unalibeba.Kifupi Joshua ndie alisababisha hiyo shida yote
Mungu aliagiza amalize adui zake wote wa Israel yeye akapiga wote akabakiza watu wa Ashidod na Gathi
Ashidodi ndio walipora sanduku la Agano na kuweka kwao na kuliweka kwenye miungu yao Dagoni
Gathi ndiko Mfilisti Goliathi alitokea kusumbua Israeli
Aliwacha wafikisti hao wanaojiita wapalestina leo wanasumbua Israeli hadi leo hao wafilisti wa Palestina wajukuu wa Goliathi
Kosa la Kamanda Joshua waweza alisoma kitabu cha Biblia cha Joshua 11:21 -22
Akawaacha watu wa Ashidodi na Gathi