Mkurudi wapi wewe
Ulkizaliwa mara ya pili na kuwa na uhusiano mpya na Mungu unabadilishwa na Mungu kuanzia jina kama Ibrahim na kabila na taifa
Ndio maana kwenye Biblia wote waumini Mungu ni wana wa Ibrahim ni wayahudi kwa Imani na sio raia wa Dunia hii wako tu hapa kimwili lakini wenyeji wao mbinguni
Ndio Maana Yesu aliagiza chochote wakihitaji wasali baba yetu uliye mbinguni utupe riziki yetu hapa duniani atawaonyesha riziki iko wapi na kuwapa
Sababu yeye ndio source .ambaye Fedha na dhahabu na vyote vijazavyo Ulimwengu ni vyake
Balozi wa Marekani mfano Tanzania Pesa yake na Riziki zake hutoka Marekani kwao sio Tanzania.Tanzania hata iwe na hali ngumu vipi haiwezi athiri maisha ya balozi wa Marekani!!
Vivyo kwa wakristo waamini Mungu si wenyeji wa hii dunia ni mabalozi wa Yesu tu duniani wenyeji wao uko Mbinguni wana prrivellege zote za ubalozi kama kama Balozi wa Marekani na kumzidi riziki zao hazitegemei uchumi.wa Tanzania ukoje hata Ukauke vipi Mungu atawatuma kunguru wawaletee mkate kipindi cha ukame.ambacho hata wakilima kwa bidii vipi hawawezi pata riziki zao !!