Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Bibi anarudi tena mjengoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nchi inautaratibu wakeJiwe alikua dikteta na shetan unaona Israel uchaguzi ni wa huru na haki mawakala wa vyama vya upinzani hawajazuiliwa kuingia vituoni jiwe alikua shetani
MBS wa Saudi Arabia kafurahi sana. Sasa ni zamu ya Trump kuungana nao 2024 halafu Bolsonaro Brazil 2026. Yani collabo moja matata maamae.Jamaa anarudi tena duh? Huwa anaenda kupumzika afu anarudi tena
[emoji1787][emoji1787]Palestina na Hisbolah watakuwa na hali mbaya kwa huyu jamaa
Hakuna nchi inaitwa Palestine kwenye historiaSema Palestine ndio wanyonge wenu wanaotumia katyusha missile Hezbollah mziki mwengne brother
Umesha lipwa 5% ya mshahara wako uliochangia kwenye mafao?.Jiwe alikua dikteta na shetan unaona Israel uchaguzi ni wa huru na haki mawakala wa vyama vya upinzani hawajazuiliwa kuingia vituoni jiwe alikua shetani
Wenzetu wanachagua chama zaidi ila sisi shida yetu unaweka jina lako halafu unashinda 95% hawa wenzetu wanakuwa wanachuana sana ila nakubaliana na wewe ikiwa tunataka mfumo kama wa UK, Germany au hata Israel au India ni chama kinachaguliwa ndio kinaunda serikali nadhani linawezekana hata huku shida yetu tunabadilisha sheria katikati ya mchezo ila kama ndio katiba ya nchi na baada ya hapo haiguswi sawa tu inakuwa fair kwa wote sheria za mchezo zinajulikana mapema.Afrika wakifanya hivyo wanaitwa madikteta
Tutumie paper tuone mwandiko basiHakuna nchi inaitwa Palestine kwenye historia
Wale ni Philistines yaani wafilisti kwa kiswahili
Nchi ya Israel no kwa ajili ya wayahudu sio kwa ajili ya wafilisti yaani Philistines
Wawe tu walpole kwa wayahudi
Mipaka ya uyahudi ilichorwa na Mungu mwenyewe
Nchi pekee duniani ambayo.Mungu alisema mipaka yake inaanza wapi na Kuishia wapi ni Israel tu
Biblia shahidi na Joshua shahidi
Mipaka mingine yote binadamu ndio alichora kupitia Berlin Conference kwa Africa kwa nchi nyingine whatever lakini Mungu hakuwa involved kuchora hiyo mipaka
Alichora ya Israel tu
Waziri Mkuu wa zamani wa ISRAEL, Benjamin Netanyahu anaongoza kwa asilimia 62% ya idadi ya kura zilizohesabiwa mpaka sasa.
Pia tayari chama chake cha mrengo wa kulia cha Likud kimeshinda idadi ya Viti 69 kati ya 120 katika bunge la nchi hiyo Knesset na hivyo kujihakikishia kuunda serikali.
Kwa kawaida nchini Israel inahitajika upate angalau viti 61 au zaidi ili uweze kuunda serikali.
Tayari Bw Netanyahu amekwisha zungumza na wafuasi wake na kuahidi kuunda Serikali itakayoirejesha tena heshima ya Israel.
Uchaguzi huu Utaondoa mkwamo kisiasa wa karibu miaka minne nchini Israel
View attachment 2404846View attachment 2404847
Halafu utasikia mtu anasema dunia iungane kumlaani Russia kwa kumnyuka Ukraine.Naa Sikh nyingi hatujaskia mambo ya Hawa jamaa toka atoke
Lkn ngoja asee
Tuwasikue waarabu sasa wanavyopewa dawa
Mshahara na Uzi vinauhusiano gani una mental healthUmesha lipwa 5% ya mshahara wako uliochangia kwenye mafao?.
Unaimwa witty?[emoji23][emoji23] i never saw this comingHuyu mbaba huwaga mzuri
Kifupi Joshua ndie alisababisha hiyo shida yoteTutumie paper tuone mwandiko basi
Na vita itaisha ukraineNdo huyu Gentamycine
Marekañi wanahusikaje kumrudisha?huyo Hana uwezo wa kumaliza vita ukraine.sio lolote bado wanasaodiwa na marekani.Afadhari marekani imemrudisha huyu vita ya ukraine-urusi iende ikaishe Mana tumechoka
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app