TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Vijana wanakufa ghafla seuze wazee!
Ndo uone akili za Watanzania zilivyo. Watu wastani wao wa kuishi umri haufiki miaka 70, mzee kapiga zaidi ya 80, bado wanatafuta wachawi. Watanzania wangapi wanafikia umri wake?

Na kwa mwili wa mzee huyu miaka yote lazima alikuwa na magonjwa kadhaa kama BP, Kisukari, etc. Sema tu quality ya maisha yake ilimsaidia kuishi vizuri. Sitashangaa wakisema alipata stroke au heart attack. Mwili wake unaruhusu magonjwa hayo yaitwayo yasiyo ya kuambukiza, ambayo ndo yamekuwa tishio zaidi ktk dunia ya kisasa.
 
Hata mimi nahisi itakuwa ni hayo mawili: heart attack au bp.

Na jamaa alikuwa obese kiasi...
 
Kila mtu atakufa. Kibaya kutangulia.
Kibaya sio kutangulia kama umri unaruhusu. Kibaya ni kijana kutangulia na jinsi anavyotangulia. Simanzi ni pale mtu anapoondoka bila kurealise potential yake. Kwa mfano mtoto wa CDF japo sikumjua, nilisikitika kwakuwa alikuwa kijana mdogo with his whole life ahead of him. Pia jinsi alivyoondoka nilijiweka kwenye nafsi yake, nikaumia.

Mzee Mkapa amepitiliza maisha ya kuishi. Tumeshauona mchango wa nguvu zake hapa duniani. It´s ok apumzike.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…