TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
So sudden wakuuu kuna shida gani? Nilimuona recently akiwa strong kabisa. Kifo ni fumbo kubwa.
 
R I P Mkapa, tuko pamoja não ndugu wa marehemu pia tunatoa pole kwa wafiwa wote
Nalog off
 
RIP Ben Hakika ulikuwa na Sauti ya mamlaka sauti nzito
 
Sio kutafuta mchawi, kila jambo linachanzo na kama chanzo ni uzee isimwe.
Sasa subiri utangaziwe baadaye; kwa nafasi yake kitaifa lazima tutaambiwa. Halafu tukubali tutakachoambiwa; siyo kuwa na mindests zetu kiasi cha kupinga kila tutakachoambiwa kama hakiendani na mindests zetu hizo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom