Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi chake kimefika tamati, chako na changu ki mbele wakati wowote kuanzia sekunde ijayo.Mbona wengi tu wanaishi hadi miaka 100 na ushee? Kwanini isiwe Mkapa? 😳😳😳
Whaaaaaat???Pole ziwaendee familia,Mama Ana Mkapa na wachaga wote.
Kumbuka kuwa Ben aliwahi kutibiwa Uswiss kwa zaidi ya mwezi mmoja akiwa rais, na baada ya hapo hatujui medical records zake. Halafu vile vile tusisahau ukweli kuwa Ben alikuwa overweight. Mwili uonekanavyo nje ndani ya suti kwa muda mfupi huwa unaficha mengi yaliyoko ndani ya ya ngozi yake. Tumwachie Mungu aliyeamua iwe.Naam Mkuu pamoja na umri wake alionekana yuko vizuri kabisa.
Aisee usitaje hii kitu maana ni ngumu sana kufutika kichwani kwa Wazanzibari.January 2001 Zanzibar
May his soul rest in peaceAiseee msiba mkubwa daah. Rest In Peace
Hakuna aijuae siku wala saa
Alijawa na tabasamu bashasha kumbe dah hana hata wiki 3 so sadNaam Mkuu pamoja na umri wake alionekana yuko vizuri kabisa.
Pressure ilikuwa inamsumbua sana. Ngoja tusubiri maelezo yajayo labda tutajulishwa kisababishi cha kifo chake.Kumbuka kuwa Ben aliwahi kutibiwa Uswiss kwa zaidi ya mwezi mmoja akiwa rais, na baada ya hapo hatujui medical records zake. Halafu vile vile tusisahau ukweli kuwa Ben alikuwa overweight. Mwili uonekanavyo nje ndani ya suti kwa muda mfupi huwa unaficha mengi yaliyoko ndani ya ya ngozi yake. Tumwachie Mungu aliyeamua iwe.
May his soul rest in peace
Hili ni pengo kubwa sana kwa taifa.