TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Kweli ndugu yangu; life expectancy ya watanzania ni miaka 66. Nyerere alikufa akiwa na miaka 77, Ruge alikufa akiwa na miaka 49, Amir Jamal alifariki na miaka 73, na Iddi Simba alikuwa na miaka 75. Kwa umri wa miaka 80 kweli hatuhitaji kutafuta mchawi tena.

Ben apumzike kwa amani; kuna mengi mazuri alifanya ingawa pia kuna mabaya alifanya. Tutamkumbuka sana kwa mazuri yake .
Sasa kidooogo naanza kukuelewa mzee wangu.
Fly high Mr Mkapa.
 
Pole kwa familia ya Mkapa, pole kwa taifa. Kifo hakikwepeki kwa binadamu aliyezaliwa na mwanamke.
 
Imetangazwa na Rais Magufuli

Rais Magufuli kwa masikitiko amesema mzee Mkapa amefariki hospitalini jijini Dsm.

Taarifa zaidi zitatolewa baadae

Source Channel ten
Aisee.. Kwenye hotuba ya Dodoma alionekana mzima kabisa..

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.. Amina
 
0025 EAT Raisi wa awamu ya tatu amefariki dunia.

Mungu ni mwema, mbele yetu nasi nyuma yake. Jina la Mungu liibidiwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom