Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise ile siku anatangaza kifo cha Mwalimu, ile picha imeniganda kichwani. Nadhani ilikuwa ndo mara yangu ya kwanza kukaa na kumsikiliza raisi wa nchi akiongea. Ilikuwa kama naota. Apumzike kwa amani kwa kweli.Tutakukumbuka kwa kauli yako Konki ya jangwani 2015 bila kusahau kututangazia kifo cha muasisi wa taifa hili tukufu la Tanzania.
And make sure u die empty...Kibaya sio kutangulia kama umri unaruhusu. Kibaya ni kijana kutangulia na jinsi anavyotangulia. Simanzi ni pale mtu anapoondoka bila kurealise potential yake. Kwa mfano mtoto wa CDF japo sikumjua, nilisikitika kwakuwa alikuwa kijana mdogo with his whole life ahead of him. Pia jinsi alivyoondoka nilijiweka kwenye nafsi yake, nikaumia.
Mzee Mkapa amepitiliza maisha ya kuishi. Tumeshauona mchango wa nguvu zake hapa duniani. It´s ok apumzike.
Ile taswira na sauti haviwezi kufutika kirahisi kwa wengi.Aise ile siku anatangaza kifo cha Mwalimu, ile picha imeniganda kichwani. Nadhani ilikuwa ndo mara yangu ya kwanza kukaa na kumsikiliza raisi wa nchi akiongea. Ilikuwa kama naota. Apumzike kwa amani kwa kweli.
RIP our babaWatanzania tumepata msiba wa kuondokewa na Rais wetu wa awamu ya tatu ndugu Benjamini William Mkapa kilichotokea jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo tarehe 24 julai saa 6:20 usiku. Sababu za kifo bado hazijajulikana. Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi, Amina.
Kwanini kutangulia kubaya? Hata aendako hatukufahamu, labda ni kuzuri na baada ya kufika huko unasema ningefahamu ningekuja mapema.Kila mtu atakufa. Kibaya kutangulia.