TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Duniani Tunapita
Pumzika kwa Amani Baba Yetu Kiongozi Wetu
Mwendo umeumaliza fika salama huko uendako
Kwaheri papaa!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mkapa alikuwa jitu la kimataifa na mwanamikakati mahiri naikumbuka picha aliyopiga na baba wa taifa mwl nyerere akiwa na mke wa hayati mchungaji Martin Luther King Bibi Coretta Scott King sio wengine wanaishia kupiga picha na kina nkurunzinza 😬😬😬😬😬😬
 
Kilichoniamsha saa sita kuwasha TV Ni baada ya kuwaza Mambo ya kifo na Mwili Uliokufa (Maiti).. nikakosa usingizi nikasema ngoja niwashe TV nicheki Muvi.. ikaibukia kwenye TBC na Sura ya Mkuu akitoka taarifa.

Salamu Maria Umejaa Neema , Bwana yu Nawe. Umebarikiwa Kuliko wanawake wotena Yesu Mzao wa Tumbo lako Amebarikiwa. Maria Mtakatifu Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu Sasa na saa ya kufa Kwetu. Amina.

ATUKUZWE BABA na Mwana na Roho Mtakatifu Kama mwanzo na Sasa na siku zote na Milele. Amina.
Dah pole mkuu,inaonekana unatafakari deep Sana yaani unawaza kifo Hadi unakosa usingizi?kwanini?hicho kipo tu huna hata haja ya kuwaza hivyo saa ikifika hamna namna...
 
tatizo lilikuwa nini maana wazushi hawatasita kutuambia kafa kwa tatizo letu pendwa la changamoto ya upumuji

Ila sijui kwa nini kifo cha rais Nkrunzinza hakikutupatia funzo kuwa mzee corona hataki masihara hata kidogo.Kama tusipokuwa makini kuna uwezekano wa corona kumuangusha hata huyu alietutangazia kifo cha mkapa
Kwani litakuwa Jambo baya?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom