DuhMzee Mkapa unaondoka kabla Tundu Lissu hajaapishwa. RIP Mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhMzee Mkapa unaondoka kabla Tundu Lissu hajaapishwa. RIP Mzee
Aisee.. Kwenye hotuba ya Dodoma alionekana mzima kabisa..
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.. Amina
Ndio ukaamini kuwa huyu jamaa yupo nchini! Hayupo tena zile ni siasa tu za mababeru.....Msiba ulonikamata hisia ni wa mahiga na mama rwakatare..dah😭😭😭
Yaani aliugua kimyakimya haikujulikana. So sad
Huku kwetu Kisiwandui ukiwa unatembea tu basi tunajua una afya tele.Unajuaje alikuwa na afya tele? Wewe ndo daktari wake?
Mbona wengi tu wanaishi hadi miaka 100 na ushee? Kwanini isiwe Mkapa? [emoji15][emoji15][emoji15]
Binadamu siku zake za kuishi duniani si nyingi sana........
RIP Mzee Mkapa
Siku hizi ana tahadhari sana na yanayotoka kinywani mwake.
Pole ziwaendee familia,Mama Ana Mkapa na wachaga wote.