Kuna mahali nimesikia kichaa fulani ameota akisema huenda ni COVID imeua mtu.....
Sababu zake ni hizi.
1. Kwa kuwa Covid ipo duniani, na sisi tumekataa kukubali kuwa hapa kwetu ipo pia, sasa mtu akiugua (hasa kiongozi) itabakia kuwa ni siri.
2. Marehemu sio mtu wa kuugua na kulazwa hospitali ya kibongo kwa zaidi ya wiki halafu iwe siri ya nchi.
3. Katika mazingira ya sasa ya COVID duniani, mgonjwa wa COVID kutoka afrika hawezi kusafirishwa kwenda ulaya kutibiwa.
4. Kwa kuwa mpaka sasa hatujaambiwa nini kimemuua, pasipo sababu yoyote, kwanini tusihisi ni COVID?
Hayo ni masimulizi ya vichaa, hivyo tuyapuuze!!!!