TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Chanzo cha kifo chake kiwekwe wazi tusipende kuficha ficha ukweli. Yule Boris Johnson aliugua corona dunia yote iljua. Mkapa ni ex president na anajulikana sana duniani na hilo swali litaulizwa na wengi tu duniani Watanzania na wasio na Watanzania Mkuu.
Tulia basi utaelezwa chanzo cha kifo chake lkn usitake kulazimisha ugonjwa ambao ww unao kichwani mwako...
 
Pole sana watanzania kwa ujumla wetu na wana lupaso pale masasi mkoani mtwara
 
Hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake yeye tutarejea.
 
Mimi naandaa accommodation, nitalala Muller's au Farm Cottage ndio jirani na kwa msiba wa Mzee, just a walking distance. Nikufanyie booking utaenda??

Ohh kitu kinaenda TA kumbe? Dah utalii wa ndani huu aisee..kutoka hapo msibani kwenda magoloto Kuna umbali gani?, Mie nipe lift tu mengine yatajiedit mbele kwa mbele
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom