TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Ohh kitu kinaenda TA kumbe? Dah utalii wa ndani huu aisee..kutoka hapo msibani kwenda magoloto Kuna umbali gani?, Mie nipe lift tu mengine yatajiedit mbele kwa mbele
Hahahaha Magoloto ni Muheza na huku ni Lushoto. Hayo mengine sasa....Tuko msibani
 
Mungu ailaze roho yake mahala pema...Mengi tulijifunza machache tuliyaacha...TANGULIA Mkapa TANGULIA Mzee wetu nyuma twaja.
Msalimie Mwalimu
 
Tulia basi utaelezwa chanzo cha kifo chake lkn usitake kulazimisha ugonjwa ambao ww unao kichwani mwako...

Kwa mwendo huu wa kuita makoleo kuwa ni vijiko tutakwisha wengi.

Kilichomwua hakitabadilika kwa jitihada yoyote ile ya kibinadamu ya kukifunika.

Apumzike kwa amani.
 
Pumzika Baba wa ukweli na uwazi. Chini yako uchumi wetu ulikomaa sana. Ulitunza amani na muungano wetu. Katiba yetu inakuheshimu kama ulivyoilinda wewe kwa nguvu zote. Rais Mkapa the only best president of Tanzania. Mungu mpumzishe Baba yetu mahali pema kabisa. Amina.
 
Apumzike kwa amani.

Hadi hapo chanzo cha kifo kitakapowekwa wazi hiki ni moja ya vifo vya ghafla.

Eeh mola wetu na ukatujalie ujasiri wa kuwa wazi na wakweli. Ili ukatujalie nusura.



Rip mzee mkapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom