TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Matusi ni dalili ya hasira. Inashangaza na kusiko kusikitisha kwa nini pana wanaokasirika hivi kukitokea msiba.

Yote hii ni kutotaka kushikia ya mabarakoa?
What is the cause of death?
 
Ni kosa kubwa sana amefanya Rais Magufuli kutangaza we are Corona free akijua sio kweli. Corona ipo na ina endelea kutushambulia. Tuwe waangalifu Sana. Mikutano hii ya kampeni itatupa majibu vizuri tusubiri coming 10 days. Madaktari acheni unafiki semeni na kusimamia taaluma zenu sio siasa. Semeni with disclaimer.
 
Wewe jamaa kwa kutangaza vifo ni no one.
View attachment 1515334

Rais Magufuli kwa masikitiko amesema mzee Mkapa amefariki katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar alikokuwa amelazwa.

Mkapa alizaliwa Novemba 12, 1938 na alikuwa Rais wa Tanzania kuanzia 1995 hadi 2005.

Rais Mkapa alikuwa mtoto wa William Matwani na Stephannia Nambanga.

Muda wa Utawala : 23 November 1995 – 21 December 2005

Makamu wa Rais wakati wa Utawala wake: Omar Ali Juma (1995–2001), Ali Mohamed Shein (2001-05)

Mtangulizi: Ali Hassan Mwinyi

Aliyemfuata: Jakaya Kikwete

View attachment 1515344
 
Wakati tunakaribia uchaguzi wa 2015 alikufa Captain komba ghafla na yeye, uchaguzi wa mwaka huu amefarika Mkapa 😥😥 RIP mzee wetu
 
Thubuutuuuuuu, nani ajitoe mhanga?

Back
Top Bottom