vipik2
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,845
- 2,258
Ni Mzee wa kukumbukwa milele amefanya mambo mengi katika nchi yetu ya Tanzania
Jenerali Ulimwengu na wewe sasa ni wakati muafaka wa kuandika kitabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Mzee wa kukumbukwa milele amefanya mambo mengi katika nchi yetu ya Tanzania
Hahahaha wajumbe sio watu wazuri kwakweli😀😀Sina hamu na Wajumbe, ukute ndio wataandaa mazishi ya mzee wetu. Wajumbe si watu
Tuendelee kuvaa barakoa.
Kulikuwa kuna kitu nataka kuongea but nimeamua ninyamaze
View attachment 1515334
Rais Magufuli kwa masikitiko amesema mzee Mkapa amefariki katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar alikokuwa amelazwa.
Mkapa alizaliwa Novemba 12, 1938 na alikuwa Rais wa Tanzania kuanzia 1995 hadi 2005.
Rais Mkapa alikuwa mtoto wa William Matwani na Stephannia Nambanga.
View attachment 1515344
Wanasema we are a Corona free country.
Wanaotusifia kwenye hilo kina nyani ngabu wenyewe wamevaa barakoa.
Tumekuwa kama ma guinea pigs wa kushehenishia takwimu.
Sawa mkuu.
Hapa duniani hatuna muda mrefu wa kuishi.
Ukiishi sana ni 100 tena upo choka mbaya..
KUNA WATU waliishi MPAKA MIAKA 1,000 NA kuendelea lakini nao walikufa..
Jeuri kibri vyote vina mwisho.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Amelazwa lini hapo hospitali mbona taarifa nusunusu
Kuna malofa na mabwanyenye...Rip
Mkapa, tutakumbuka ulivyotuita marofa .
Yes ni ujinga tu kumuuwa mwenzio sababu ya tumbo lako,Hali nawe ni maiti mtarajiwa,Sawa mkuu.
Hapa duniani hatuna muda mrefu wa kuishi.
Ukiishi sana ni 100 tena upo choka mbaya..
KUNA WATU waliishi MPAKA MIAKA 1,000 NA kuendelea lakini nao walikufa..
Jeuri kibri vyote vina mwisho.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Pumzika kwa amani,
Binadamu akifa ndo mazuri yake yanasemwa,
Nikikumbuka yalojiri uko pemba watu wakimiminiwa risasi ivyo nadhan alazwe pahala panampostahili
Kaka tuombeleze msiba kwanza.Kuna malofa na mabwanyenye...
kwani ww upo kundi gani kaka..
ama ulitaka uitwe jina lisilo lako!?
Matusi ya nini? Jifunze kauli njema kinywani
Wanasema we are a Corona free country.
Wanaotusifia kwenye hilo kina nyani ngabu wenyewe wamevaa barakoa.
Tumekuwa kama ma guinea pigs wa kushehenishia takwimu.