TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Hakika, kwa kulijua hilo mwanadamu inatubidi kuyatenda yanayo mpendeza Mungu wakati wa uhai wetu.

Kwa kufanya hayo tunakuwa tunajiandalia safari yetu ambayo hatujui siku wala dakika.
Binadamu siku zake za kuishi duniani si nyingi sana........

RIP Mzee Mkapa
 
Raha ya milele umwangazie, apumzike kwa amani Mzee wetu Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa
Amin
 
Ni vizuri sana kuwa na busara ya kuacha kutumia vifo vya watu wengine kwa malengo ya kijenga hoja za kisiasa bila uthibitisho wake. Wote tunatembea na vifo vyetu viganjani mwetu. Tusubiri facts kwanza halafu ndipo tuzichambue
 
Mungu amweke mahali pema, Mzee mkapa tutamkumbuka kwa kuwa sehemu ya kupigania tume huru ya uchaguzi baada ya kustaafu...
 
Duh hii habari ni nzito ;usingizi wangu umekata ghafla usiku huu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom