TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Pamoja na mengineyo yote mabaya yako.. Wewe ni binaadamu, hujakamilika. Nimehuzunika sana kwa msiba huu[emoji26][emoji26][emoji26]wanaojua kuzungumza na kuthubutu wanazidi kupukutika. Tunabaki nao sasa[emoji24][emoji24][emoji24]R. I. P BWM.
 
Naam Mkuu pamoja na umri wake alionekana yuko vizuri kabisa.
Kumbuka kuwa Ben aliwahi kutibiwa Uswiss kwa zaidi ya mwezi mmoja akiwa rais, na baada ya hapo hatujui medical records zake. Halafu vile vile tusisahau ukweli kuwa Ben alikuwa overweight. Mwili uonekanavyo nje ndani ya suti kwa muda mfupi huwa unaficha mengi yaliyoko ndani ya ya ngozi yake. Tumwachie Mungu aliyeamua iwe.
 
Pressure ilikuwa inamsumbua sana. Ngoja tusubiri maelezo yajayo labda tutajulishwa kisababishi cha kifo chake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom