Watanzania tunajua ramli chonganishi...hapa JF upo uzi wenye wachangiaji wengi sana wa Benjamin Mkapa "kumuua" JK Nyerere...bila shaka wameishakutana huko na kumalizana wenyewe tuliobaki tunatengeneza fitna nyingine.Watu wameanza kushuku juu ya kifo hiki na hasa ukizingatia yajayo hayafurahishi...
Hapana, huyu aliyopo na aliyemleta kwenye mbeleko ndo wapewe adhabu ya kaburi maana kifo cha marehemu kilitokana na kutochukua tahadhari dhidi ya covid-19 kwa kuamini uongo wa aliyopo kuwa gonjwa hilo limekwisha. Siku aliyopo madarakani anaapishwa kule Dodoma, waalikwa wote toka nchi za nje ikiwa ni pamoja na Rais Museveni na Mabalozi walivaa Barakoa kujikinga na hilo gonjwa kwa sababu hawadanganyiki.Umekufa lkn mateso uliowaachia waja wa Mungu kwa kuwaletea hyu mtu, Mungu na azidi kukuongezea adhabu ya kaburi.
Mwana wa lupaso ndo aliefosi jina la huyu kupita kule dom.Hapana, huyu aliyopo na aliyemleta kwenye mbeleko ndo wapewe adhabu ya kaburi maana kifo cha marehemu kilitokana na kutochukua tahadhari dhidi ya covid-19 kwa kuamini uongo wa aliyopo kuwa gonjwa hilo limekwisha. Siku aliyopo madarakani anaapishwa kule Dodoma, waalikwa wote toka nchi za nje ikiwa ni pamoja na Rais Museveni na Mabalozi walivaa Barakoa kujikinga na hilo gonjwa kwa sababu hawadanganyiki....
So ni dhahiri kabisa kuwa wanayoyapitia watz kwa sasa muasisi wake ni lupaso.Hapana, huyu aliyopo na aliyemleta kwenye mbeleko ndo wapewe adhabu ya kaburi maana kifo cha marehemu kilitokana na kutochukua tahadhari dhidi ya covid-19 kwa kuamini uongo wa aliyopo kuwa gonjwa hilo limekwisha. Siku aliyopo madarakani anaapishwa kule Dodoma, waalikwa wote toka nchi za nje ikiwa ni pamoja na Rais Museveni na Mabalozi walivaa Barakoa kujikinga na hilo gonjwa kwa sababu hawadanganyiki...
Unalomods fungeni hii nyuzi za muda au muweke rangi nyeusi hapo kwenye tanzia yaan nimeshtuka hadi simu imedondoka chini MUNGU wa mbinguni epusha hili jambo na maombi mabaya juu ya Rais wetu Magufuli..
Nan kaleta taharuki jamani?si tumekubaliama anafanya kazi chatoJF msitumike kuleta taharuki!
Taharuki iko vichwani mwao wenyewe [emoji1787]Nan kaleta taharuki jamani?si tumekubaliama anafanya kazi chato
Mie nilishaagiza nundu nichomewe dahahahaha,
kidogo niagize mzinga wa kvant!
Huu uzi wa muda dada tuliaHii thread inatisha Invisible toeni hiyo alama nyekundu.
Hata mimi nimestuka aisee...Nilipoona Rais wa awamu ya, nikasema ohoooπππNotification ya huu uzi imenistua! Mods wangeedit hyo rangi waitoe
Ana Mungu yule mkuu...!huoni anavyotembelea makanisa? Sema aache roho ya kikatiliWangari Maathai
ila huyu mwamba kama kweli anaumwa,na yu hai akiyaepuka madhira haya,amrudie Mungu!
Kwa sasa kama una presha usijaribu kufungua fungua nyuzi ovyo ,nenda kwa tahadhari mkuuππ€JF msitumike kuleta taharuki!
Nikajua parapanda ishalia bana, kumbe zilipendwaHata mimi nimestuka aisee...Nilipoona Rais wa awamu ya, nikasema ohoooπππ