Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kuwashughulikia magaidi wa Hamas kwa vitendo vya vya kinyama kuua watoto Kafri na Ariel Bibas watoto ambao waliwateka nyara Oct 07,2023 wakiwa na Mama yao Shiri Bibas na miili yao kurudishwa wakiwa wamekufa na Hamas kudai walikufa kutokana na mabomu ya Israel baada ya uchunguzi wa Forensic lab imejulikana wazi kuwa watoto hao waliuliwa kutumia mikono ya magaidi hao waliwanyonga na inahofiwa kuwa magaidi hao wameficha mwili wa Shiri Bibas kwa hofu ya kugundulika uovu waliomfanyia Mama huyo maana wakifanya vipimo vya Forensic wanaweza kujua kila kitu wanachotaka hicho ndicho magaidi hao wamehofia na kuleta mwili mwingine kabisa tofauti na mateka wa Israel.Waziri Mkuu huyo kasema atalala nao mbele kwa mbele mpaka kundli hilo liangamizwe