pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Hizi Kauli ndio itafanya Gaza iwe kaburi la halaikiHana hoja huyo.Alijua kashawamaliza kumbe majamaa bado yapo ya kutosha!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi Kauli ndio itafanya Gaza iwe kaburi la halaikiHana hoja huyo.Alijua kashawamaliza kumbe majamaa bado yapo ya kutosha!!!
Waarabu wote wanajua kidume huko Mashariki ya kati ni Benjamin Netanyahu jana kabwatuka kidogo waarabu wote wakaufyata mkia na kuurudisha mwili!!uwe mtulivu usikurupuke,huo mwili umepatikana na wameishapewa,hao watoto na mama yao waliuawa na mabomu ya natanyahu
Aliwahi kutamka kwamba kawamaliza? Lini hiyo?Hana hoja huyo.Alijua kashawamaliza kumbe majamaa bado yapo ya kutosha!!!
Watoto wa kipalestina Gaza wamekuwa maelfu Netanyahu aache violence atafute peace and dialogue ila kama ni vita sawa aendelee atachuma maumivu kama hayoHao watoto wadogo ndiyo wa kutosha? Hizo propaganda Uchwara wewe unaziamini vipi?
Hamas sio M23Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kuwashughulikia magaidi wa Hamas kwa vitendo vya vya kinyama kuua watoto Kafri na Ariel Bibas watoto ambao waliwateka nyara Oct 07,2023 wakiwa na Mama yao Shiri Bibas na miili yao kurudishwa wakiwa wamekufa na Hamas kudai walikufa kutokana na mabomu ya Israel baada ya uchunguzi wa Forensic lab imejulikana wazi kuwa watoto hao waliuliwa kutumia mikono ya magaidi hao waliwanyonga na inahofiwa kuwa magaidi hao wameficha mwili wa Shiri Bibas kwa hofu ya kugundulika uovu waliomfanyia Mama huyo maana wakifanya vipimo vya Forensic wanaweza kujua kila kitu wanachotaka hicho ndicho magaidi hao wamehofia na kuleta mwili mwingine kabisa tofauti na mateka wa Israel.Waziri Mkuu huyo kasema atalala nao mbele kwa mbele mpaka kundli hilo liangamizwe
Ukitaka jibu angalia mateka mmoja wa Israel anabadilishwa na mateka wangapi wa Palestina/HamasThamani ya watoto hao inazidi thamani ya watoto 13,000 waliouawa Gaza?
Nini maana ya setensi "alijua...." na aliwahi tamka?Aliwahi kutamka kwamba kawamaliza? Lini hiyo?
Ayubu anatwambia "mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi huhesabika" maana yake zina ukomo haijarishi zitakomaje hivyo wawaue tu na waowatakufa vilevileHizi Kauli ndio itafanya Gaza iwe kaburi la halaiki
Mi natamani kwanza kujua kigezo kilichotumika kuachia maelfu ya wafungwa wa kipalestina kwa wisrael wanne tu siku ya kwanza, hii hesabu hamas walimaanisha thamani yao haina hadhi sawa na waisarael, nilijua watakua wanabadilishana mmoja kwa mmoja lakin wao wakademand wapalestina maelf kwa waisrael wanne, hii inathibitisha kuwa hata wao akili zao zinawatuma kuwa thamani na muisrael ni kubwa kwa elfu ukilinganisha na muisrael mmojaThamani ya watoto hao inazidi thamani ya watoto 13,000 waliouawa Gaza?
We mlokole Kwaiyo SHOGA anasamani mbele ya Mpalestine!!! Kwa vigezo vipi Mpalestine Apigani ili Alipwe pesa kama Mashoga wa Israel!!!Mi natamani kwanza kujua kigezo kilichotumika kuachia maelfu ya wafungwa wa kipalestina kwa wisrael wanne tu siku ya kwanza, hii hesabu hamas walimaanisha thamani yao haina hadhi sawa na waisarael, nilijua watakua wanabadilishana mmoja kwa mmoja lakin wao wakademand wapalestina maelf kwa waisrael wanne, hii inathibitisha kuwa hata wao akili zao zinawatuma kuwa thamani na muisrael ni kubwa kwa elfu ukilinganisha na muisrael mmoja
Yemen na Hamas wanamuona mchumba tu Houth wanatia madole wanavyotakaWaarabu wote wanajua kidume huko Mashariki ya kati ni Benjamin Netanyahu jana kabwatuka kidogo waarabu wote wakaufyata mkia na kuurudisha mwili!!
Kilichowaua ni mabomu ya Israel waliokuwa wanafanya zoezi la ethnic cleansing. Hapo sijajumuisha na wengine tangia miaka ya 1940s wakati wa utekelezaji wa Balfour declaration ulipoanza rasmi kufanyiwa kazi. Kuna mmoja alisema umtag endapo nitakujibu. naomba ufanye hivyo ChiefKwa nini wameuwawa hao watoto 13,000? Yaani mazingira ya vifo vyao plz nisaidie kuelewa
Uhai kwa UhaiUnatumia kigezo gani kulinganisha?
Ndio hilo swali langu kwako, wewe ulijuaje kama "alijua" kawamaliza? Hajawahi kutamka hivo popote hadi mambo ya cease fire yalipo anza kushinikizwa, unawezaje kutekeleza suala la cease fire kama umewamaliza maadui zako? Ukiwamaliza wote cease fire si inatokea automatic? Au?Nini maana ya setensi "alijua...." na aliwahi tamka?
mpuuzi mmoja anayejitutumua wakati mambo yashamshindaWaziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kuwashughulikia magaidi wa Hamas kwa vitendo vya vya kinyama kuua watoto Kafri na Ariel Bibas watoto ambao waliwateka nyara Oct 07,2023 wakiwa na Mama yao Shiri Bibas na miili yao kurudishwa wakiwa wamekufa na Hamas kudai walikufa kutokana na mabomu ya Israel baada ya uchunguzi wa Forensic lab imejulikana wazi kuwa watoto hao waliuliwa kutumia mikono ya magaidi hao waliwanyonga na inahofiwa kuwa magaidi hao wameficha mwili wa Shiri Bibas kwa hofu ya kugundulika uovu waliomfanyia Mama huyo maana wakifanya vipimo vya Forensic wanaweza kujua kila kitu wanachotaka hicho ndicho magaidi hao wamehofia na kuleta mwili mwingine kabisa tofauti na mateka wa Israel.Waziri Mkuu huyo kasema atalala nao mbele kwa mbele mpaka kundli hilo liangamizwe