C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 940 Reaction score 401 Mar 9, 2025 #1 Wakuu habari, Naulizia benki gani inanunua deni kutoka HESLB? Msaada.
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Mar 9, 2025 #2 Lipa pesa za watu😀 ili wengine wapate kupewa mkopo Unakuta wewe ni md na pale mkeka unasoma deni 32m😹
Lipa pesa za watu😀 ili wengine wapate kupewa mkopo Unakuta wewe ni md na pale mkeka unasoma deni 32m😹
S sos x Member Joined Sep 9, 2024 Posts 49 Reaction score 60 Mar 9, 2025 #3 Crystal field theory said: Wakuu habari, naulizia benki gani inanunua deni kutoka heslb.. #msaada Click to expand... 😂
Crystal field theory said: Wakuu habari, naulizia benki gani inanunua deni kutoka heslb.. #msaada Click to expand... 😂
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Mar 9, 2025 #4 Hapo ni sawa na kuhamisha tatizo tu
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 7,843 Reaction score 10,321 Mar 9, 2025 #5 Watu8 said: Hapo ni sawa na kuhamisha tatizo tu Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
S sos x Member Joined Sep 9, 2024 Posts 49 Reaction score 60 Mar 9, 2025 #6 DR SANTOS said: Lipa pesa za watu😀 ili wengine wapate kupewa mkopo Unakuta wewe ni md na pale mkeka unasoma deni 32m😹 Click to expand... 🤣🤣🤣
DR SANTOS said: Lipa pesa za watu😀 ili wengine wapate kupewa mkopo Unakuta wewe ni md na pale mkeka unasoma deni 32m😹 Click to expand... 🤣🤣🤣
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Mar 9, 2025 #7 Crystal field theory said: Wakuu habari, naulizia benki gani inanunua deni kutoka heslb.. #msaada Click to expand... i smell blood here 😂😂, best option saccos unakopa unalipa deni, halaf wao hawakukati makato makubwa
Crystal field theory said: Wakuu habari, naulizia benki gani inanunua deni kutoka heslb.. #msaada Click to expand... i smell blood here 😂😂, best option saccos unakopa unalipa deni, halaf wao hawakukati makato makubwa
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 7,843 Reaction score 10,321 Mar 9, 2025 #8 DR SANTOS said: Lipa pesa za watu😀 ili wengine wapate kupewa mkopo Unakuta wewe ni md na pale mkeka unasoma deni 32m😹 Click to expand... Ila kudaiwa kusikie kwa mwenzio tu
DR SANTOS said: Lipa pesa za watu😀 ili wengine wapate kupewa mkopo Unakuta wewe ni md na pale mkeka unasoma deni 32m😹 Click to expand... Ila kudaiwa kusikie kwa mwenzio tu
Anastasia21 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2023 Posts 1,056 Reaction score 2,118 Mar 9, 2025 #9 NMB ATA CRDB😹