Wadau..ninakampunga kama 220 M ni wapi naweza kafix Kwa ziadi ya asilimia 15.p annum.
Nimecheck
Utt ni Kati ya 12 Hadi 14
Nmb 7
CRDB 7
Access bank 14.5
Finca 14.5
Je benk gani nyingine inayoaminika inaweza toa rate kama 16pct..nata kuwekeza huko huku nikiangalia baishara ya kufanya.
Natangaluza shukrani
Ni eishafanya analysis,, asilimia husika ni Kweli siyo uwongo .Ila natafuta pazuri zaidi.Achana na %....
The best way chukua breakdown wa hizo banks & financial services, je ikiweka kwa mwaka faida ni sh ngapi kwa kila moja in figures, then yenye figure kubwa kama faida go for it, achana kabisa na % ni uongo mtupu..
Finca hao sijui 14%, uongo, kama huamini, waombe wakupe breakdown ya faida in figures per year, alafu compare hata na faida ya CRDB per year yenye 7%, ndio utashangaa..
Watu wengi wasiojua hesabu hizi rahisi, utasikia eti ni % ngapi? Hata hawajui hapo wanapigwa vibaya, wee angalia amount in figures ngapi unapata per six month or year, alafu fanya maamuzi.
Vikoba tena mkuu,,huko risk kubwa labda nianzie kama microfinanseMkuu vikoba
Mkuu hizo 220 M ni hela zako kweli halali ama ni zile ziko kwenye ripoti ya CAG?Wadau..ninakampunga kama 220 M ni wapi naweza kafix Kwa ziadi ya asilimia 15.p annum.
Nimecheck
Utt ni Kati ya 12 Hadi 14
Nmb 7
CRDB 7
Access bank 14.5
Finca 14.5
Je benk gani nyingine inayoaminika inaweza toa rate kama 16pct..nata kuwekeza huko huku nikiangalia baishara ya kufanya.
Natangaluza shukrani
Watu walisema kes Mr kuku na jtatu lakini wameishiwa kuliwa.Ndo maana natafuta pakuweka huku zikizaa wakati napata mawazo mapya..kuliko kuziacha accounta za kawaida tuCAG UYU HUKU KAPATIKANA MMOJA.
Uwez ukawa 200tsh af una hata idea
Hahaha, SIIEIJII unaitwa hukuCAG UYU HUKU KAPATIKANA MMOJA.
Uwez ukawa 200tsh af una hata idea
Aje kwa spidi Kabisa π π πHahaha, SIIEIJII unaitwa huku
Yawezekana amerithiCAG UYU HUKU KAPATIKANA MMOJA.
Uwez ukawa 200tsh af una hata idea
Hio hela ni ya kwenye ripoti ya CAG hawa ndio wanufaika wa migao ya kifisadi. Mtu anayeweza kuzalisha 220M ya kwake hawezi kushindwa kuelewa wapi pa kuipeleka. Hio hela anayo kwenye box huyu fala.Mkuu hizo 220 M ni hela zako kweli halali ama ni zile ziko kwenye ripoti ya CAG?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ameweka hela kwenye jaba na hajui jinsi ya kuzungusha mtajiHio hela ni ya kwenye ripoti ya CAG hawa ndio wanufaika wa migao ya kifisadi. Mtu anayeweza kuzalisha 220M ya kwake hawezi kushindwa kuelewa wapi pa kuipeleka. Hio hela anayo kwenye box huyu fala.
QZ Asset management ndio nini na inafanya kazi vipi?Kati ya hizo nakushauri kabla hujaweka chukua 5m tu wekeza QZ asset management halafu baada ya siku 50 Fanya maamuzi yako mengine.
I guarantee.
Qz asset ndo watu gani na wanashughulika nanniniKati ya hizo nakushauri kabla hujaweka chukua 5m tu wekeza QZ asset management halafu baada ya siku 50 Fanya maamuzi yako mengine.
I guarantee.