Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Nenda kanunue treasury bonds za BOT ni uhakika mwingiWadau, nina kampunga kama 220M, ni wapi naweza kafix kwa ziadi ya asilimia 15 per annum?
Nimecheck;
~ UTT ni kati ya 12 hadi 14
~ NMB 7
~ CRDB 7
~ Access bank 14.5
~ Finca 14.5
Je, benki gani nyingine inayoaminika inaweza toa rate kama 16%? Natak kuwekeza huko huku nikiangalia baishara ya kufanya.
Natangaluza shukrani