Benki gani inatoa fixed deposit rate zaidi ya 15%?

Benki gani inatoa fixed deposit rate zaidi ya 15%?

Wadau, nina kampunga kama 220M, ni wapi naweza kafix kwa ziadi ya asilimia 15 per annum?

Nimecheck;
~ UTT ni kati ya 12 hadi 14
~ NMB 7
~ CRDB 7
~ Access bank 14.5
~ Finca 14.5

Je, benki gani nyingine inayoaminika inaweza toa rate kama 16%? Natak kuwekeza huko huku nikiangalia baishara ya kufanya.

Natangaluza shukrani
Nenda kanunue treasury bonds za BOT ni uhakika mwingi
 
Wadau, nina kampunga kama 220M, ni wapi naweza kafix kwa ziadi ya asilimia 15 per annum?

Nimecheck;
~ UTT ni kati ya 12 hadi 14
~ NMB 7
~ CRDB 7
~ Access bank 14.5
~ Finca 14.5

Je, benki gani nyingine inayoaminika inaweza toa rate kama 16%? Natak kuwekeza huko huku nikiangalia baishara ya kufanya.

Natangaluza shukrani
Usiangalie riba tu lazima uangalie na Risk unayochukua hiyo benki ikifilisika unalipwa na insurance yake minimum kiasi gani!! The higher the interest rate the higher the risk!! Hali ya kiuchumi duniani ni mbaya sana mabenki mengi yanafilisika.
 
Ze higher the FD rate,the more posibility to loose the investment.

Ask yourself why are they attracting you with the higher rates.

Think deep,decide
 
Ze higher the FD rate,the more posibility to loose the investment.

Ask yourself why are they attracting you with the higher rates.

Think deep,decide
Unajua haya mabank yanakopesha kwa riba ya asilimia ngapii?

Nmb,crdb nk... wanatoa riba ndogo lakini kwenye mikopo yao wanakopesha kwa riba kubwa

kwenye fixed dipost zao hutoa riba ndogo kutokana hawana ukwasi wa fedha.
 
Na kuna wengine kwa kutokuwa na huo ukwasi ndio maana wanakuvutia kwa rates ndefu,wakishindwa kuzungusha shida ndio inaanzia hapo
 
Ningekuwa mim hiyo hela ningewekeza UTT na kununua hisa za crdb kwisha
 
Back
Top Bottom