Benki gani inatoa huduma ya Recurring Depost hapa Tanzania?

Benki gani inatoa huduma ya Recurring Depost hapa Tanzania?

What is recurring deposit?
Ni huduma ya kuweka pesa, kabla ya kufungua akaunti unachagua utakuwa unaweka Shilingi ngapi kila siku au kila wiki, hii inakulazimisha uweke kwa kila ule muda uliochagua unalofika na kiasi kile ulichochagua wakati unafungua akaunti.
Haikuruhusu kutoa mpaka ule muda uliopanga.
 
Halafu inakuwa na riba flan au just deposits tuu.
 
Mshana Jr acha uchoyo wa materials
Basi yaishe rafiki 😀

A recurring deposit, also known as an RD, is a term deposit that allows customers to invest an amount of their choice each month and easily save money.

Kwa Kimatumbi👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Amana inayojirudia, pia inajulikana kama RD, ni amana ya muda ambayo inaruhusu wateja kuwekeza kiasi wanachochagua kila mwezi na kuokoa pesa kwa urahisi.
 
Nimefuatilia kwa Tanzania hakuna Benki inayotoa hii huduma.
Diamond Trust Bank (DTB) nimesikia kwamba hii huduma walikuwa nayo.
Kesho nitaenda kwenye Benki yao kuulizia.
 
Ila kuweka pesa benki ni hasara. Ni vile tu si wote wanaweza kuzungusha pesa. Riba kwa akaunti za savings hazifidii mfumuko wa bei.
 
Ila kuweka pesa benki ni hasara. Ni vile tu si wote wanaweza kuzungusha pesa. Riba kwa akaunti za savings hazifidii mfumuko wa bei.
Nahitaji kuweka 30,000 kama akiba kila wiki ndani ya muda wa mika kadhaa.
30,000 naweza vipi kuizungusha?
 
Back
Top Bottom