Benki gani inatoa huduma ya Recurring Depost hapa Tanzania?

Benki gani inatoa huduma ya Recurring Depost hapa Tanzania?

Mtoa post je kuna faida yoyote let say nikaema kila siku na deposit 50,000 je napata faida ya % ngapi kwa siku au kwa mwezi au kwa mwaka
 
Nenda Bank waambie unataka kuset Standing Order kwenda kwenye either Fixed deposit, Long term deposit ama Account nyingine. Kila Bank wanahiyo huduma.
 
Back
Top Bottom