FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,692
- 4,442
Please google ๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟWhat is recurring deposit?
Ni huduma ya kuweka pesa, kabla ya kufungua akaunti unachagua utakuwa unaweka Shilingi ngapi kila siku au kila wiki, hii inakulazimisha uweke kwa kila ule muda uliochagua unalofika na kiasi kile ulichochagua wakati unafungua akaunti.What is recurring deposit?
Imekaa poa!Ni huduma ya kuweka pesa, kabla ya kufungua akaunti unachagua utakuwa unaweka Shilingi ngapi kila siku au kila wiki, hii inakulazimisha uweke kwa kila ule muda uliochagua unalofika na kiasi kile ulichochagua wakati unafungua akaunti.
Haikuruhusu kutoa mpaka ule muda uliopanga.
Ni huduma ya kuweka pesa, kabla ya kufungua akaunti unachagua utakuwa unaweka Shilingi ngapi kila siku au kila wiki, hii inakulazimisha uweke kwa kila ule muda uliochagua unalofika na kiasi kile ulichochagua wakati unafungua akaunti.
Haikuruhusu kutoa mpaka ule muda uliopanga.
Basi yaishe rafiki ๐Mshana Jr acha uchoyo wa materials
Amana inayojirudia, pia inajulikana kama RD, ni amana ya muda ambayo inaruhusu wateja kuwekeza kiasi wanachochagua kila mwezi na kuokoa pesa kwa urahisi.Mtoa mada I guess equity bank wanafanya ivyo sema sikuuliza ipoje
Kama ivyo yameishaBasi yaishe rafiki ๐
A recurring deposit, also known as an RD, is a term deposit that allows customers to invest an amount of their choice each month and easily save money.
Mungu akubariki sana๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ ukipata muda uje nikuombeeKama ivyo yameisha
Amina mchungajiMungu akubariki sana๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ ukipata muda uje nikuombee
Inakuwa na riba mkuu siyo unaweka tu bila kupata faida.Halafu inakuwa na riba flan au just deposits tuu.
Hii ni sawa na call deposit ?Nimefuatilia kwa Tanzania hakuna Benki inayotoa hii huduma.
Diamond Trust Bank (DTB) nimesikia kwamba hii huduma walikuwa nayo.
Kesho nitaenda kwenye Benki yao kuulizia.
Ukipata maelezo yao utatu tutagNimefuatilia kwa Tanzania hakuna Benki inayotoa hii huduma.
Diamond Trust Bank (DTB) nimesikia kwamba hii huduma walikuwa nayo.
Kesho nitaenda kwenye Benki yao kuulizia.
Nahitaji kuweka 30,000 kama akiba kila wiki ndani ya muda wa mika kadhaa.Ila kuweka pesa benki ni hasara. Ni vile tu si wote wanaweza kuzungusha pesa. Riba kwa akaunti za savings hazifidii mfumuko wa bei.
Hapana mkuu, Call Depost unaweza kutoa pesa zako muda wowote ukihitaji.Hii ni sawa na call deposit ?