magwamaka Senior Member Joined May 20, 2023 Posts 120 Reaction score 266 Mar 12, 2025 #21 Mtoa post je kuna faida yoyote let say nikaema kila siku na deposit 50,000 je napata faida ya % ngapi kwa siku au kwa mwezi au kwa mwaka
Mtoa post je kuna faida yoyote let say nikaema kila siku na deposit 50,000 je napata faida ya % ngapi kwa siku au kwa mwezi au kwa mwaka
Ndengaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2014 Posts 7,831 Reaction score 14,259 Mar 12, 2025 #22 Nenda Bank waambie unataka kuset Standing Order kwenda kwenye either Fixed deposit, Long term deposit ama Account nyingine. Kila Bank wanahiyo huduma.
Nenda Bank waambie unataka kuset Standing Order kwenda kwenye either Fixed deposit, Long term deposit ama Account nyingine. Kila Bank wanahiyo huduma.
M Mtutuwandei JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 1,317 Reaction score 1,817 Mar 12, 2025 #23 FatherOfAllSnipers said: Nahitaji kuweka 30,000 kama akiba kila wiki ndani ya muda wa mika kadhaa. 30,000 naweza vipi kuizungusha? Click to expand... Ni kweli hiyo huwezi kuizungusha.
FatherOfAllSnipers said: Nahitaji kuweka 30,000 kama akiba kila wiki ndani ya muda wa mika kadhaa. 30,000 naweza vipi kuizungusha? Click to expand... Ni kweli hiyo huwezi kuizungusha.