Habari wakuu.
Kuna jambo la haraka ambalo ili kulikamilisha natakiwa kuwa na physical (plastic) debit/credit card na siyo hizi virtual kama za M-Pesa ambazo ndizo nazitumia sana. Kwa anayefahamu benki ambayo unaweza kufungua akaunti na ukapewa kadi ya Master au Visa siku hiyo hiyo naomba nijulishe. Nina akaunti CRDB na NMB lakini kadi zime-expire na ninavyojua siwezi kuomba kadi mpya nikapata siku hiyohiyo au ndani ya siku mbili. Huchukua muda mrefu. Natanguliza shukrani.