EquityABSA
Benki gani hiyo ndugu? Kadi yangu ya CARDB nilishabadilisha mara mbili lakini nilisubiri kwa zaidi ya wiki mbili.Card ikiisha muda wake nenda kwenye tawi ulilofungulia account siku hiyo hiyo inayo isha muda unakuta card yako iko tayari wala hausubiri.
Card zangu zote zikiisha muda huwa nazirudisha bank na kukuta card mpya imeshaandaliwa bila hata kutuma maombi yoyote.