Benki gani naweza kufungua akaunti na nikapata ATM card papo hapo?


Nipe utaratibu nafanyaje sasa
 

mimi kama mteja, nitafaidika vipi endapo nikiweka pesa kwa muda mrefu? eg. 6+ month?
 
Wakuu NMB wanayzo account zinazoitwa NMB CHAP CHAP, unafungua mda huo huo, unapata kadi mda huo huo, unaunganishwa na sim banking mda huo huo, na unatumia mda huo huo, ndani ya dk 15 tu. Gharama ni 10000, na hap hapo 4500, inrudishwa kwenye account yako kama kianzio, na uanweza kuchukua hiyo pesa. Mahaitaji ya kufungua ni kuwa na kitambulisho kimoja tu, kiwe cha kura au cha taifa au leseni ya gari n.k. Fika tawi lolote la nmb, uliza nataka nmb chap chap, utapata. By afisa wa benk NMB.
 
Acha uzushi wewe. tangu lini NMB, CRDB ukifungua akaunti unapata kadi ndani ya siku moja. hakuna kitu kama hicho. ni Barclays pekee

uko nyuma ya muda wewe, Crdbbank wanafanya fast account opening unapata kadi papo hapo na Nmb pia wana chap chap account kadi ni papo hapo. chagua Crdbbank benki inayomsikiliza mteja
 
uko nyuma ya muda wewe, Crdbbank wanafanya fast account opening unapata kadi papo hapo na Nmb pia wana chap chap account kadi ni papo hapo. chagua Crdbbank benki inayomsikiliza mteja

Usikariri kauli mbiu ya kuwa CRDB inasikiliza mteja. Mteja yupi? Inasikilzaje? mbona muda wote ATM hazifanyi kazi, mtandao hakuna, hela kwenye atm hazipo, huduma kwa wateja mbaya sana maana wahudumu wachache wateja wengi.
Ni account CRDB lakini nitaifung muda si mrefu maana hii sasa hivi haina tofauti na NMB
 
mimi nahitaji benk yoyote ambayo naweza fungua account tz nikawa na uwezo wa kudeposite pesa zangu nikiwa mozambique, congo na hata kenya
 
hatimaye baada ya kusumbuana sana na watu wa crdb leo kadi yangu imekuwa full functional yaani sim banking and internet banking from 9th august to 19 august nimenote vitu vifutavyo

wana customer care mbovu,wanachelewa kujibu emails,simu ndo hawapokei kabisa
wafanyakazi wao hawaijui benk yao vizuri kwani kuna vitu ukiwauliza wanabaki wameshangaa
system zao za ibanking ni rahisi kuwa screwed zanatuma active server page technology
atm mashine zao zinatia mashaka............maana nilienda branch ya tgt, mliman cityna azikiwe nikakuta watu kibao wanasubir kad zao zilizokuwa captured
 
FNB mkuu dakika 15 tu unaokabidhiwa kichinjio
 
ndio hzo benk tajwa hapo juu kama Crdb bt àtm kard yako haitakuwa na picha .hyo huduma inaitwa voda fàster

Kwani Picha ina maana gani katika ATM card?
Hata Benk zilizoanza na card zenye picha wameanza kutupilia mbali ushamba wa kuweka picha kwenye card.
Mf:NMB.
 
Mkuu acha uongo. NMB mimi ndo benk ninayo tumia, ukifungua a/c leo lazima usubiri wiki tatu hadi nne ndo ATM card unapata, sababu matawi hayatengenezi zinatengenezwa sehem moja kwa benk husika halafu zinatumwa.

Jamaa amesema kwel.

Wewe tu na kutoelewa kwako.

NMB unapewa ATM card ndani ya Dakika 10,Mtandao ukiwa mzur.
Sema wewe unajua taratibu za zamani,
So, you are not right to crush somebody while you have got no Recent information.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…