King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Unaweza kuweka million 10+ kwny kibubu?Kibubu bank hakina makato hata 0.00% unavyoweka ndo utakuta hivyo mkuu achana na hizo zenye makato pesa yako alafu wakate hamia kibubu bank utakuja nishukuru^