Benki ipi ina fixed term deposit interest rate kubwa?


Huwa zinabadilika kila bank kwa bank tofauti.kama bank ikiwa na upungufu wa deposit inaamua kutoa rate kubwa .nakushaur jaribu kuzungukia bank tofauti ili kupata rate kubwa na uchukua uamuzi kwa wakati.
 
jaribu FNB 6% per month fixed deposit unaweza kutoa hadi 15% kwa mwezi minimum deposit1,000,000 waone
 
FNB ni benki ipi mkuu?
Jamaa kakosea, nina account FNB napata 8.75% per YEAR! hakuna benki inayoweza kukupa 6% per month, fikiria ukiweka million 100 unapata millioni 72 kwaa mwaka! Si tungeacha kazi wote.

FNB ni First National Bank ni banki ya South Africa makao makuu Ohio Street opposite Serena/Sheraton Hotel.
 

Asante kwa update mkuu! Naona business ya fixed account ukiwa na vijisenti hailipi, ngoja niingie kwenye kutafuta hata plot ama shamba.
 
Asante kwa update mkuu! Naona business ya fixed account ukiwa na vijisenti hailipi, ngoja niingie kwenye kutafuta hata plot ama shamba.

Always ni muhimu kuangalia risk / reward / effort. Fixed deposit ina very low risk, low au moderate returns na zero effort kwa upande wako.
 
Sorry me naomba kuuliza kama bank zetu Tz,wanaallow fixed account deposits or even saving account deposits za foreign currency,eg usd, Euro or GBP for the seek of securing value of currency.
 
How confusing!
Buh,.....-Contemplating.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…