nyiokunda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 1,976
- 1,181
Salaam!
Kuna anayejua ni bank gani Tanzania ina interest rate kubwa kuliko zote kwa fixed term deposit? Nina kama million thelathini hivi na sina mpango wa kufanya biashara ila nataka niziweke kwenye fixed account kwa muda wa mwaka mmoja ama miezi sita. Nimejaribu kuangalia information mtandaoni bila mafanikio -nipo nje ya nchi kwa sasa.
Tafadhali toa ezoefu wako kwenye maswala ya fixed accounts Tanzania - vitu gani huwa ni mitego ya bank kwa wateja wa fixed accounts?
Kuna mwenye mawazo mbadala -yaani kwa mtu mwenye Tzs30,000,000 ambaye yupo nje ya nchi anaweza kuwekeza kwenye nini na akapata faida?
natanguliza shukrani
Huwa zinabadilika kila bank kwa bank tofauti.kama bank ikiwa na upungufu wa deposit inaamua kutoa rate kubwa .nakushaur jaribu kuzungukia bank tofauti ili kupata rate kubwa na uchukua uamuzi kwa wakati.