Benki ipi ina fixed term deposit interest rate kubwa?

Natania

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
262
Reaction score
217
Salaam!

Kuna anayejua ni bank gani Tanzania ina interest rate kubwa kuliko zote kwa fixed term deposit? Nina kama million thelathini hivi na sina mpango wa kufanya biashara ila nataka niziweke kwenye fixed account kwa muda wa mwaka mmoja ama miezi sita. Nimejaribu kuangalia information mtandaoni bila mafanikio -nipo nje ya nchi kwa sasa.

Tafadhali toa ezoefu wako kwenye maswala ya fixed accounts Tanzania - vitu gani huwa ni mitego ya bank kwa wateja wa fixed accounts?

Kuna mwenye mawazo mbadala -yaani kwa mtu mwenye Tzs30,000,000 ambaye yupo nje ya nchi anaweza kuwekeza kwenye nini na akapata faida?

natanguliza shukrani
 
Bank ya Damu - Ilala

Unajua nnaweza nikakaa nikawa niko upset kupita kiasi ikawa sina raha hata kidogo sina tabasam wala furaha usoni mwangu lakini nikifungua na kuingia JF kwa kweli huwa najiskia furaha hata bila ya kujua kuwa imetokea wapi najiskia nikicheka mpaka basi.

Utakuta mtu yuko serious kabisa akitegemea majibu mazuri toka kwa watu wenye hekma na busara kabisa then kinachotokea hata mtoa mada mwenyewe anaweza akajikuta baada ya kukasirika ikawa anacheka tu kwa kweli.

AMA KWELI THIS IS JF.
 
Bank ya Posta wana rate nzur sana
 
Rate nyingi za benki kwenye fixed ni kati ya 4%-5.5% (kutegemea na kiasi cha pesa unachoweka)rate nyingi zimeshuka ktk benki mbalimbali kutokana na sarafu yetu kushuka hiyo aliyosema bwana kayimukaa 10% ni nzuri sanaaa kama ni kweli
 
Last edited by a moderator:

Hiyo rate ya kuanzia 10% kwa posta bank ni kuanzia deposit ya 100m
 
Last edited by a moderator:
Niliona tangazo la benki ya posta kwenye gazeti ilikuwa inaonyesha 10% kwa mwezi mmoja na inaongezeka kulingana na pesa yako itakaa muda wa miezi mingapi kwa mwaka. Unaweza kutembelea benki ya posta kwa ufafanuzi zaidi
 
Rate nyingi za benki kwenye fixed ni kati ya 4%-5.5% (kutegemea na kiasi cha pesa unachoweka)rate nyingi zimeshuka ktk benki mbalimbali kutokana na sarafu yetu kushuka hiyo aliyosema bwana kayimukaa 10% ni nzuri sanaaa kama ni kweli

Ni kweli kuna banks zina rate nzuri na za kuvutia but please remember most of these banks have very high risk profiles. You may need to balance return and risk. Kabla ya kuweka fedha zako kwenye benki yeyote kama savings au investment please take time to undertake some basic assessments eg profitability ya hiyo benki, level of non performing loans, capital, liquidity. Most of these information are available in audited financial statements which are always uploaded in banks Webb sites or quarterly publication in news papers.

In short ushauri wangu ni kwamba usivutiwe tuu na rate kubwa
 
Mkuu ume-analse vizuri sana tena kiuhasibu zaidi i bet the man got u.
 
Niliona tangazo la benki ya posta kwenye gazeti ilikuwa inaonyesha 10% kwa mwezi mmoja na inaongezeka kulingana na pesa yako itakaa muda wa miezi mingapi kwa mwaka. Unaweza kutembelea benki ya posta kwa ufafanuzi zaidi

Hakuna kitu kama hiko duniani.
 
Ni kweli kuna banks zina rate nzuri na za kuvutia but please remember most of these banks have very high risk profiles. You may need to balance return and risk. Kabla ya kuweka fedha zako kwenye benki yeyote kama savings au investment please take time to undertake some basic assessments eg profitability ya hiyo benki, level of non performing loans, capital, liquidity. Most of these information are available in audited financial statements which are always uploaded in banks Webb sites or quarterly publication in news papers.

In short ushauri wangu ni kwamba usivutiwe tuu na rate kubwa

Fixed term deposits ni low risk investments ndo maana rate yake iko chini,hizo factor ulizotaja zinahusikaje na fixed deposits? Naona hizo ni kama za mtu anaetaka kununua hisa.
 
Hiyo rate ya kuanzia 10% kwa posta bank ni kuanzia deposit ya 100m

Daa! 100m parefu kweli, asante hata hivyo kwa info, itabidi niwatafute hawa waheshimiwa wa Benki ya Posta
 
Ni kweli kuna banks zina rate nzuri na za kuvutia but please remember most of these banks have very high risk profiles. You may need to balance return and risk. Kabla ya kuweka fedha zako kwenye benki yeyote kama savings au investment please take time to undertake some basic assessments eg profitability ya hiyo benki, level of non performing loans, capital, liquidity. Most of these information are available in audited financial statements which are always uploaded in banks Webb sites or quarterly publication in news papers.

In short ushauri wangu ni kwamba usivutiwe tuu na rate kubwa

Mkuu asante kwa kutaketrouble kushare nasi hiyo tahadhari ya kuchukua. But to be honest I am not that good in finance, banking and stuff, would you please do an extra mile to conduct a small research and share your findings with us?
 
Back
Top Bottom