Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Maelekezo, kwa mpesa inakuwaje?Siku hizi ni M-PESA ndugu yangu dakika 5 ushakamilisha kila kitu hadi malipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelekezo, kwa mpesa inakuwaje?Siku hizi ni M-PESA ndugu yangu dakika 5 ushakamilisha kila kitu hadi malipo
Halafu unaweza kurenew au ndiyo basi tena?Mnaomshauri mleta mada atumie M-Pesa Master Card pia mumkumbushe haipo safe, yaani mtu akichukua simu ya muhusika anaweza kupata Access ya Master Card yake bila kuingiza PIN, Maana M-PESA Master Card haina PIN namba au Neno la siri.
Nadhani ni moja ya sababu kadi kuisha muda wake baada ya mwezi mmoja
Una renewHalafu unaweza kurenew au ndiyo basi tena?
Asante.Una renew
Mimi huwa naiwekea hela pale ninapotaka kuitumia na nahakikisha natumia pesa yote
Kama ipo tayari kwa M Pesa basi pia ipo tayari Master CardAsante.
Na mchakato wa kujiunga upoje? Mfano sasa hivi nina line ya voda ila sijajua kama ina uwezo huo.
Ila makato yao ni kwere arif!CRDB bank is okey
Asante.Kama ipo tayari kwa M Pesa basi pia ipo tayari Master Card
Kilichobaki ni wewe kujiunga tu na M-Pesa Master Card
*150*00#, 4(pay bill), 6(m-pesa master card), utaendelea mwenyeweAsante.
Najiungaje.
Jaribu tena maana wameshaanzishaHabar ndugu zangu naomba msaada wenu kwa anaye jua bank ipi inayo husika na PayPal nimejaribu crdb lakini sijafanikiwa naomba msaada wenu kwa anaye faham ili jambo
Samahani kama itakuwa nimekurupuka..*150*00#, 4(pay bill), 6(m-pesa master card), utaendelea mwenyewe
Ndiyo, unaweza, hata ukiwa na Banc ABC Cash card unapokea kupitia PaypalSamahani kama itakuwa nimekurupuka..
nikiwa na hii m pesa master card naweza kupokea pesa kutoka nje ya nchi au ni kutuma tu
Kaulize bank b*wegeHabar ndugu zangu naomba msaada wenu kwa anaye jua bank ipi inayo husika na PayPal nimejaribu crdb lakini sijafanikiwa naomba msaada wenu kwa anaye faham ili jambo
Hivi kwa M-pesa Tanzania inakubali kweliShida yote ya nini... Tumia mpesa tu.. Skuiz wana huduma ya mastercard... Mi nimeshatumia hii kwenye PayPal mara nyingi tu.. Kwanza naona ndo safe maana haiusiani kabisa na account zako za benki..