Benki ipi ina huduma ya PayPal?

Benki ipi ina huduma ya PayPal?

Mnaomshauri mleta mada atumie M-Pesa Master Card pia mumkumbushe haipo safe, yaani mtu akichukua simu ya muhusika anaweza kupata Access ya Master Card yake bila kuingiza PIN, Maana M-PESA Master Card haina PIN namba au Neno la siri.

Nadhani ni moja ya sababu kadi kuisha muda wake baada ya mwezi mmoja
 
Mkuu tumia barclays.... Asee ni fasta kama goli la kwanza..
 
Mnaomshauri mleta mada atumie M-Pesa Master Card pia mumkumbushe haipo safe, yaani mtu akichukua simu ya muhusika anaweza kupata Access ya Master Card yake bila kuingiza PIN, Maana M-PESA Master Card haina PIN namba au Neno la siri.

Nadhani ni moja ya sababu kadi kuisha muda wake baada ya mwezi mmoja
Halafu unaweza kurenew au ndiyo basi tena?
 
Asante.

Na mchakato wa kujiunga upoje? Mfano sasa hivi nina line ya voda ila sijajua kama ina uwezo huo.
Kama ipo tayari kwa M Pesa basi pia ipo tayari Master Card

Kilichobaki ni wewe kujiunga tu na M-Pesa Master Card
 
Habar ndugu zangu naomba msaada wenu kwa anaye jua bank ipi inayo husika na PayPal nimejaribu crdb lakini sijafanikiwa naomba msaada wenu kwa anaye faham ili jambo
Jaribu tena maana wameshaanzisha
 
*150*00#, 4(pay bill), 6(m-pesa master card), utaendelea mwenyewe
Samahani kama itakuwa nimekurupuka..
nikiwa na hii m pesa master card naweza kupokea pesa kutoka nje ya nchi au ni kutuma tu
 
Habar ndugu zangu naomba msaada wenu kwa anaye jua bank ipi inayo husika na PayPal nimejaribu crdb lakini sijafanikiwa naomba msaada wenu kwa anaye faham ili jambo
Kaulize bank b*wege
,zunguka bank zote
 
Shida yote ya nini... Tumia mpesa tu.. Skuiz wana huduma ya mastercard... Mi nimeshatumia hii kwenye PayPal mara nyingi tu.. Kwanza naona ndo safe maana haiusiani kabisa na account zako za benki..
Hivi kwa M-pesa Tanzania inakubali kweli
 
Back
Top Bottom