jastertz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 407
- 768
Habari JF!!!
Nimekuwa nikitumia Bank X kwa muda wa miaka kadhaa kuweka savings zangu na kupitishia miamala mbali mbali.
ila nikiacha tu hata week. hayo makato yake sio mchezo, makato inaeza tosha kuwa nauli ya kufata hela yako kwa muhusika.
imagine transactions sijui VAT zinafanyika nikiwa nimelala.. nikiwauliza wanajibu simple tu kuwa hayo ni makato ya mwezi uliopita.
sasa mniambie kimbilio ni wapi au ni wapi tutakimbilia, saving kwenye sio sio shida sema unaeza onyeshwa kiwembe utoe password( too risk).....