BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Hapanahawakati kati hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapanahawakati kati hovyo
Hapana. Benki Y haina makato.unakatwa
sawa mkuuA
Achana na mambo ya kuweka savinga au fixed account zote hizo zinamakato jiunge na mfuko wa uwekezaji wa pamoja Utt amis liquid fund autajutia na faida yake ni 1% kwa mwezi na kwa mwaka ni 12 to 14 % na ukitoa ela zako ni ndani ya siku 3 za kazi hamna makato kama ujapenda basi kwa Benki nzuri isiyo na makato ni Equity bank 🏦
Fafanua unaweka je hela huko Wana matawi mikoaniA
Achana na mambo ya kuweka savinga au fixed account zote hizo zinamakato jiunge na mfuko wa uwekezaji wa pamoja Utt amis liquid fund autajutia na faida yake ni 1% kwa mwezi na kwa mwaka ni 12 to 14 % na ukitoa ela zako ni ndani ya siku 3 za kazi hamna makato kama ujapenda basi kwa Benki nzuri isiyo na makato ni Equity bank 🏦
MABOTO!Habari JF!!!
Nimekuwa nikitumia Bank X kwa muda wa miaka kadhaa kuweka savings zangu na kupitishia miamala mbali mbali.
ila nikiacha tu hata week. hayo makato yake sio mchezo, makato inaeza tosha kuwa nauli ya kufata hela yako kwa muhusika.
imagine transactions sijui VAT zinafanyika nikiwa nimelala.. nikiwauliza wanajibu simple tu kuwa hayo ni makato ya mwezi uliopita.
sasa mniambie kimbilio ni wapi au ni wapi tutakimbilia, saving kwenye sio sio shida sema unaeza onyeshwa kiwembe utoe password( too risk).....
Kazi ya benki sio kuweka akiba mkuu kazi ya bank ni ku provide loan kwa watejaHabari JF!!!
Nimekuwa nikitumia Bank X kwa muda wa miaka kadhaa kuweka savings zangu na kupitishia miamala mbali mbali.
ila nikiacha tu hata week. hayo makato yake sio mchezo, makato inaeza tosha kuwa nauli ya kufata hela yako kwa muhusika.
imagine transactions sijui VAT zinafanyika nikiwa nimelala.. nikiwauliza wanajibu simple tu kuwa hayo ni makato ya mwezi uliopita.
sasa mniambie kimbilio ni wapi au ni wapi tutakimbilia, saving kwenye sio sio shida sema unaeza onyeshwa kiwembe utoe password( too risk).....
Fafanua unaweka je hela huko Wana matawi mikoani