Benki ipi nzuri ya kukopa

Jmushizoo

Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
73
Reaction score
15
Ndugu wanajamii forum ni benk ipi nzuri hapa nchini naweza kukopa hela na yenye riba nafuu
 
CRDB nadhani, NMB pia nasikia wapo vizuri.
 
CRDB ila uandae kama 100,000/= ya kwenda na kurudi nyumbani maana kwa kalenda hawajambo. Meneja wa bank tawi husika akipata msiba basi hadi atakaporudi ndo unashughulikiwa. Access Bank wao hata siku tatu ni nyingi unakuwa ushaweka pesa kwenye biashara. Tatizo la Access Bank ukichelewesha rejesho hata siku moja wako tayari kukutangaza TBC ama Aljazeera na riba yao iko juu.
 
Yafuatayo ni madhara ya kukopa:
1.kukonda
2.kukosa usingizi
3.trauma wakati wa kulala
4.kuwa na hasira muda wrote
5.kuvunja ndoa/uhusiano
6.kuhamisha watoto shule medium to kayumba
7.kulala njaa
8.kuchukia kila Bank/ATM unayoiona
9.kuuza vyombo au vitu vya ndani
10.kifikiria kuacha kazi au kuhama eneo unaloishi
11.kukosa hamu ya kazi
12.Presha isiyo tulia
13.kuchukia kila unapofika mwisho wa mwezi kwa sababu unajua Bank huna chako
14. Kuchukia watu/marafiki
15.kuongeza idadi ya maadui/wachawi
16.Kufa kihoro
17.nguo kupwaya
18.Kusingizia unahama nyumba kumbe kodi imekushinda
19.Kusahau sahau tarehe
20.Nyingine elezea kwa experience yako
 
Ahsante kwa ushauri wako
 
hahahahahahaha
 
tehe tehe tehe tehe
 
amini nawambia Access bank inakwenda kuwa benki kubwa na itatoa ushindani mkubwa sana kwa bank kubwa.
 
kukopa ndo mtindo wa maisha duniani kote,watu wanakopa na wanamake ,kikubwa ujue namna ya kumanage pesa,hata kama interest iwe kubwa kama ukiinvest wisely utalipa tu deni
 
Ila ni kweli CRDB inabidi wabadilike nilitumia miezi miwili na nusu mpk nikataka sitisha ila nikaambiwa ipo kwenye process ya mwisho njoo baada ya cku tatu tena na tena............
 
Ila ni kweli CRDB inabidi wabadilike nilitumia miezi miwili na nusu mpk nikataka sitisha ila nikaambiwa ipo kwenye process ya mwisho njoo baada ya cku tatu tena na tena............
Hawako serious na bado wanapenda umungu mtu.
 
Ila ni kweli CRDB inabidi wabadilike nilitumia miezi miwili na nusu mpk nikataka sitisha ila nikaambiwa ipo kwenye process ya mwisho njoo baada ya cku tatu tena na tena............
au wanataka uwakopeshe kidogo ndio wakukopeshe kikubwa....
 


Wewe unaexpiriansi sana yaani unahitajika hapa jf zaidi Kwa kuelimisha. Hongera sana lkn sababu ya yote haya inachangia Na vimkopo unavopewa Mara nyingi hawa watu wa benki Kwa mtu mnyonge wanakupa Pesa Za usumbufu tu.
 
Naona watu wamesahau CBA wako vizur na fasta...
Kwa maelezo zaid nenda tawin kwao mimi sio marketing wao ni ushauri tuu...
 

Sasa kwa taarifa tuu MATAJIRI wengi mjini ndo wanaongoza kwa madeni...

"Woga wako ndo umaskini wako"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…