Benki ipi nzuri ya kukopa

Benki ipi nzuri ya kukopa

Yafuatayo ni madhara ya kukopa:
1.kukonda
2.kukosa usingizi
3.trauma wakati wa kulala
4.kuwa na hasira muda wrote
5.kuvunja ndoa/uhusiano
6.kuhamisha watoto shule medium to kayumba
7.kulala njaa
8.kuchukia kila Bank/ATM unayoiona
9.kuuza vyombo au vitu vya ndani
10.kifikiria kuacha kazi au kuhama eneo unaloishi
11.kukosa hamu ya kazi
12.Presha isiyo tulia
13.kuchukia kila unapofika mwisho wa mwezi kwa sababu unajua Bank huna chako
14. Kuchukia watu/marafiki
15.kuongeza idadi ya maadui/wachawi
16.Kufa kihoro
17.nguo kupwaya
18.Kusingizia unahama nyumba kumbe kodi imekushinda
19.Kusahau sahau tarehe
20.Nyingine elezea kwa experience yako
Hahaaa.. umesahau kukosa hamu ya tendo la ndoa!
 
21. Pia kuzungumza peke yako barabarani huku ukihesabu vidole ahahaah
 
Yafuatayo ni madhara ya kukopa:
1.kukonda
2.kukosa usingizi
3.trauma wakati wa kulala
4.kuwa na hasira muda wrote
5.kuvunja ndoa/uhusiano
6.kuhamisha watoto shule medium to kayumba
7.kulala njaa
8.kuchukia kila Bank/ATM unayoiona
9.kuuza vyombo au vitu vya ndani
10.kifikiria kuacha kazi au kuhama eneo unaloishi
11.kukosa hamu ya kazi
12.Presha isiyo tulia
13.kuchukia kila unapofika mwisho wa mwezi kwa sababu unajua Bank huna chako
14. Kuchukia watu/marafiki
15.kuongeza idadi ya maadui/wachawi
16.Kufa kihoro
17.nguo kupwaya
18.Kusingizia unahama nyumba kumbe kodi imekushinda
19.Kusahau sahau tarehe
20.Nyingine elezea kwa experience yako
True[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Benki izi mwenye kujua process zao za mkopo kwa Personal loans, mortgages loans and Business loans
1. Azania bank
2. Tanzania Postal Bank
3. Equity Bank
4. Access Bank
 
Najua umu Kuna wenzetu wapo wengi tuu ktk taasisi za kifedha na mnajua viwango vya Mikopo mtujulishe ni taasisi gani ambayo wanatoa mikopo kwa viwango vizuri sana ili kuwapa mwanga. Maana inabidi watu tunyanyuke
 
Yafuatayo ni madhara ya kukopa:
1.kukonda
2.kukosa usingizi
3.trauma wakati wa kulala
4.kuwa na hasira muda wrote
5.kuvunja ndoa/uhusiano
6.kuhamisha watoto shule medium to kayumba
7.kulala njaa
8.kuchukia kila Bank/ATM unayoiona
9.kuuza vyombo au vitu vya ndani
10.kifikiria kuacha kazi au kuhama eneo unaloishi
11.kukosa hamu ya kazi
12.Presha isiyo tulia
13.kuchukia kila unapofika mwisho wa mwezi kwa sababu unajua Bank huna chako
14. Kuchukia watu/marafiki
15.kuongeza idadi ya maadui/wachawi
16.Kufa kihoro
17.nguo kupwaya
18.Kusingizia unahama nyumba kumbe kodi imekushinda
19.Kusahau sahau tarehe
20.Nyingine elezea kwa experience yako
21. uhakika wa kuigia Jehhnam ni mkubwa sana maana unakua umetangaza ugovi na Mungu wako.
 
Wadau ni vyema unaposema bank fulani ni nzuri basi uweke wazi na riba yake ili ueleweke vizuri. Mimi nina experience na ACB. Riba yake ni 11% kwa mkopo wa miezi 6. Kwa mwaka ni 22% ila huwa kuna vigharama vingine ambavyo ukijulimsha vizuri unakuta inafika 25%. Mtu anayekushauri usikope ujue sio mfanyabiasha serious na kama hufanyi biashara seriously nakushauri usikope.
 
Yafuatayo ni madhara ya kukopa:
1.kukonda
2.kukosa usingizi
3.trauma wakati wa kulala
4.kuwa na hasira muda wrote
5.kuvunja ndoa/uhusiano
6.kuhamisha watoto shule medium to kayumba
7.kulala njaa
8.kuchukia kila Bank/ATM unayoiona
9.kuuza vyombo au vitu vya ndani
10.kifikiria kuacha kazi au kuhama eneo unaloishi
11.kukosa hamu ya kazi
12.Presha isiyo tulia
13.kuchukia kila unapofika mwisho wa mwezi kwa sababu unajua Bank huna chako
14. Kuchukia watu/marafiki
15.kuongeza idadi ya maadui/wachawi
16.Kufa kihoro
17.nguo kupwaya
18.Kusingizia unahama nyumba kumbe kodi imekushinda
19.Kusahau sahau tarehe
20.Nyingine elezea kwa experience yako
Kukosa hamu ya Kufanya Mapenzi
 
  • Thanks
Reactions: A85

Kama ni hivyo baaas sitaki mkopo!
 
PRIDE nao wako vizuri..
Riba yao kwa mwaka ni 22%
Gharama zingine ziko chini sana..
Na pia kama ukikamilisha vielelezo vyako ndani ya wiki mbili unachukua pesa..
Huwa hawana usumbufu kabisa
 
ACB ndio mpango mzima...sijawahi kujuta kukopa huko...yaani ndani ya siku saba hela mkononi
 
Mwanangu ACB bank account wanatoa Riba kiasi gani kwa asilimia
 
Back
Top Bottom