Riba ni 1.83333%kwa mwezi kiongozi..Mwanangu ACB bank account wanatoa Riba kiasi gani kwa asilimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Riba ni 1.83333%kwa mwezi kiongozi..Mwanangu ACB bank account wanatoa Riba kiasi gani kwa asilimia
Walahi PBZ ......hawana riba...... wakopa....... warejeshaCRDB nadhani, NMB pia nasikia wapo vizuri.
Usiguse chondechondeMwanangu ACB bank account wanatoa Riba kiasi gani kwa asilimia
PBZ ni ipi?? Benki ya Posta???Walahi PBZ ......hawana riba...... wakopa....... warejesha
NI stori ndefu.........Kwa kifupi nia yao ni kuhifadhi FEDHA za matajiri wakubwa lakini si kuinua mtu MASIKINI.Kwani bwana Nzalendo
NI Banki ya Unguja...tawi lipo kkoo karibu na soko na tazara mataa Azam TVPBZ ni ipi?? Benki ya Posta???
Ndugu wanajamii forum ni benk ipi nzuri hapa inchi naweza kukopa hela na yenye riba nafuu
Kha, kama umeniandikia mimi. Ila umesahau maumivu ya kichwa yasiyosikia dawa! kula mlo mmoja kwa siku-Yafuatayo ni madhara ya kukopa:
1.kukonda
2.kukosa usingizi
3.trauma wakati wa kulala
4.kuwa na hasira muda wrote
5.kuvunja ndoa/uhusiano
6.kuhamisha watoto shule medium to kayumba
7.kulala njaa
8.kuchukia kila Bank/ATM unayoiona
9.kuuza vyombo au vitu vya ndani
10.kifikiria kuacha kazi au kuhama eneo unaloishi
11.kukosa hamu ya kazi
12.Presha isiyo tulia
13.kuchukia kila unapofika mwisho wa mwezi kwa sababu unajua Bank huna chako
14. Kuchukia watu/marafiki
15.kuongeza idadi ya maadui/wachawi
16.Kufa kihoro
17.nguo kupwaya
18.Kusingizia unahama nyumba kumbe kodi imekushinda
19.Kusahau sahau tarehe
20.Nyingine elezea kwa experience yako
Matajiri wengi waliofanikiwa kiuchumi ni kwa sababu ya kuchukua mkopo,swala hapa ni elimu juu ya mikopo,hayo magonjwa yote tajwa hapo juu ni kwasababu mchukua mkopo hakuwa na elimu nzuri,mikakati thabiti na tahadhri juu ya mkopo anaochukua,mikopo inawatoa watu makini from nothing to something...... Wewe baki na hiyo dhana.....Yafuatayo ni madhara ya kukopa:
1.kukonda
2.kukosa usingizi
3.trauma wakati wa kulala
4.kuwa na hasira muda wrote
5.kuvunja ndoa/uhusiano
6.kuhamisha watoto shule medium to kayumba
7.kulala njaa
8.kuchukia kila Bank/ATM unayoiona
9.kuuza vyombo au vitu vya ndani
10.kifikiria kuacha kazi au kuhama eneo unaloishi
11.kukosa hamu ya kazi
12.Presha isiyo tulia
13.kuchukia kila unapofika mwisho wa mwezi kwa sababu unajua Bank huna chako
14. Kuchukia watu/marafiki
15.kuongeza idadi ya maadui/wachawi
16.Kufa kihoro
17.nguo kupwaya
18.Kusingizia unahama nyumba kumbe kodi imekushinda
19.Kusahau sahau tarehe
20.Nyingine elezea kwa experience yako
Wengi atujapata elimu ya mikopo. Ndio maana tunalosti ktk mikopounakopa kwa ajili ya nn kwani mikopo kwa bongo ni kama sumu
Nitawatembelea.NI Banki ya Unguja...tawi lipo kkoo karibu na soko na tazara mataa Azam TV
Yafuatayo ni madhara ya kukopa:
1.kukonda
2.kukosa usingizi
3.trauma wakati wa kulala
4.kuwa na hasira muda wrote
5.kuvunja ndoa/uhusiano
6.kuhamisha watoto shule medium to kayumba
7.kulala njaa
8.kuchukia kila Bank/ATM unayoiona
9.kuuza vyombo au vitu vya ndani
10.kifikiria kuacha kazi au kuhama eneo unaloishi
11.kukosa hamu ya kazi
12.Presha isiyo tulia
13.kuchukia kila unapofika mwisho wa mwezi kwa sababu unajua Bank huna chako
14. Kuchukia watu/marafiki
15.kuongeza idadi ya maadui/wachawi
16.Kufa kihoro
17.nguo kupwaya
18.Kusingizia unahama nyumba kumbe kodi imekushinda
19.Kusahau sahau tarehe
20.Nyingine elezea kwa experience yako
Taratibu za kukopa PBZ zikoje ndugu yangu...Walahi PBZ ......hawana riba...... wakopa....... warejesha
Hahahaha ati wanatangaza TBCCRDB ila uandae kama 100,000/= ya kwenda na kurudi nyumbani maana kwa kalenda hawajambo. Meneja wa bank tawi husika akipata msiba basi hadi atakaporudi ndo unashughulikiwa. Access Bank wao hata siku tatu ni nyingi unakuwa ushaweka pesa kwenye biashara. Tatizo la Access Bank ukichelewesha rejesho hata siku moja wako tayari kukutangaza TBC ama Aljazeera na riba yao iko juu.