Benki ipi nzuri ya kukopa

mimi mwenyewe nazitafuta noti nizivute kwa wingi sittak kukopa kidogo nataka pesa nyingi tu
 
Kha, kama umeniandikia mimi. Ila umesahau maumivu ya kichwa yasiyosikia dawa! kula mlo mmoja kwa siku-
 
Matajiri wengi waliofanikiwa kiuchumi ni kwa sababu ya kuchukua mkopo,swala hapa ni elimu juu ya mikopo,hayo magonjwa yote tajwa hapo juu ni kwasababu mchukua mkopo hakuwa na elimu nzuri,mikakati thabiti na tahadhri juu ya mkopo anaochukua,mikopo inawatoa watu makini from nothing to something...... Wewe baki na hiyo dhana.....
 
 
Hahahaha ati wanatangaza TBC
 
Ukikopa Tanzania Postal Bank hutojutia uamuzi wako Kamwe in terms of riba Na muda Wa kupata mkopo
 
Benk ya kukopa hapa tz ni crdb.. Zingine sawa kukopa ila kuuziwa nako ni fasta kama mkopo ulivo fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…