CRDB labda useme inaongoza kwa kumiliki assets, lakini si kwenye faida wala uwekezaji mzuri kwenye hela zao. Kwa jicho la la haraka pia unaweza sema MNB inaongoza kwa faida.
Lakini technically bank inayoongoza hapo kwa ufanisi ni ‘CitiBank’ ukiangalia ROCE na ‘asset turnover ratio’, wakifuatiwa na ‘standard charter’. Kama unataka ku invest kwenye shares hizo ndio sehemu ya kuweka hela zako.
Iła hizi bank zote kwa umoja wao ni muda wa bunge kuzikaba kuanza kuondoa tozo za huduma na kupunguza interest za mikopo kwa faida hizo. Yaani waku charge kutumia ATM au kufanya transfer huo ni ujambazi wa mchana kweupe.