Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Akaro amesisitiza kuwa BoT ni chombo huru, na uamuzi wowote wa kutumia uwekezaji wake kufadhili miradi ya serikali unahitaji idhini ya Bunge.
Wawe wanatoa taarifa kamili kabla wahuni hawajaongeza chumvi zao.Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali.
Akizungumza mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro, amesema madai hayo si ya kweli.
Ameeleza kuwa kinachotekelezwa ni mpango wa kuuza dhahabu iliyozidi kiwango kilichoidhinishwa, kwa lengo la kusawazisha mizania ya hifadhi ya dhahabu ya benki hiyo.
Kwa mujibu wa Akaro, bodi ya BoT imeidhinisha benki hiyo kuwa na hifadhi ya dhahabu isiyozidi dola za Marekani bilioni mbili, wakati thamani ya sasa imefikia dola bilioni 3.24, hivyo kutokana na tofauti hiyo, benki inapanga kuuza kiasi kilichozidi kiwango kilichowekwa.
Pia Soma Tanzania yapanga kuuza sehemu ya Hazina yake ya Dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu
Amefafanua kuwa fedha zitakazopatikana kutokana na mauzo hayo zitawekezwa katika masoko ya fedha ya kimataifa kwa lengo la kuongeza mapato ya uwekezaji, na si kwa ajili ya kufadhili miradi ya serikali.
Akaro amesisitiza kuwa BoT ni chombo huru, na uamuzi wowote wa kutumia uwekezaji wake kufadhili miradi ya serikali unahitaji idhini ya Bunge.
Hadi jana Januari 29, 2026, BoT ilikuwa na akiba ya fedha za kigeni yenye thamani ya dola bilioni 6.52, na kati ya hizo, dhahabu inakadiriwa kuwa dola bilioni 1.2, dola za Marekani bilioni 3.8, na sarafu ya China (yuan) dola milioni 735.
Ndugu ofisa Wadanganye Wajinga wenzioBenki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali.
Akizungumza mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro, amesema madai hayo si ya kweli.
Ameeleza kuwa kinachotekelezwa ni mpango wa kuuza dhahabu iliyozidi kiwango kilichoidhinishwa, kwa lengo la kusawazisha mizania ya hifadhi ya dhahabu ya benki hiyo.
Kwa mujibu wa Akaro, bodi ya BoT imeidhinisha benki hiyo kuwa na hifadhi ya dhahabu isiyozidi dola za Marekani bilioni mbili, wakati thamani ya sasa imefikia dola bilioni 3.24, hivyo kutokana na tofauti hiyo, benki inapanga kuuza kiasi kilichozidi kiwango kilichowekwa.
Pia Soma Tanzania yapanga kuuza sehemu ya Hazina yake ya Dhahabu kusaidia kufadhili miradi ya miundombinu
Amefafanua kuwa fedha zitakazopatikana kutokana na mauzo hayo zitawekezwa katika masoko ya fedha ya kimataifa kwa lengo la kuongeza mapato ya uwekezaji, na si kwa ajili ya kufadhili miradi ya serikali.
Akaro amesisitiza kuwa BoT ni chombo huru, na uamuzi wowote wa kutumia uwekezaji wake kufadhili miradi ya serikali unahitaji idhini ya Bunge.
Hadi jana Januari 29, 2026, BoT ilikuwa na akiba ya fedha za kigeni yenye thamani ya dola bilioni 6.52, na kati ya hizo, dhahabu inakadiriwa kuwa dola bilioni 1.2, dola za Marekani bilioni 3.8, na sarafu ya China (yuan) dola milioni 735.
Nyingi kwa maana ya target walioyoiweka wao BOT sio kwa level ya dunia.Kwamba dhahabu ipo nyingi sana imezidi kiwango? Kwamba tanzania ina dhahabu nyingi kuliko taifa lolote duniani? Basi sawa
BOT wanaanza siasa
Huyo Gavana vipi tena, anaiita dhahabu ni fedha za kigeni?TOKA MAKTABA:
Nov 27, 2025
Gavana Tutuba - Hifadhi ya Dhahabu imehifadhiwa nje ya nchi, na yote ipo huko katika Bank of England Uingereza
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba, amesema kuwa hadi sasa Benki Kuu imenunua jumla ya tani 15.37 kupitia mpango wake wa ununuzi wa madini hayo, ikiwa ni hatua muhimu ya kuongeza akiba ya fedha za kigeni na kuimarisha thamani ya shilingi.. na kuwa dhahabu ya BoT imesafirishwa na kuhifadhiwa ktk benki kuu ya Uingereza yaani Bank of England
View: https://m.youtube.com/watch?v=ql7hRR5sA08Source : Bank of Tanzania
Njia ya muongo ni fupi. Time will tell.Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali.

Pia Soma