Benki Kuu ya Tanzania: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya Serikali

Benki Kuu ya Tanzania: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya Serikali

Nyie pimbi mna tani 15 tu za dhahabu mnasema dhahabu zimezidi mnataka kuuza ili kutunza mizania!! Nyie kweli mna akili ? Wenzenu Thailand wana Tani 235 na bado wanakusanya kwani mnadhani wao hawajui umuhimu wa kutunza dhahabu kwa maslahi ya nchi yao?
Mmejaza wabunge wajinga ndani ya bunge lenu wanaimba taarabu tu hawajui hata maana ya strategic gold reserve ; wanabwabwaja tu humo bungeni na kuunga mkono hoja za kijinga!
Hahaha ndio madhara ya kuweka watu wenye akili ndogo sehemu fulani hata maamuzi lazima yawe ya kutumia akili ndogo sio akili kubwa
 
Nov 27, 2025
Gavana Tutuba - Hifadhi ya Dhahabu imehifadhiwa nje ya nchi, na yote ipo huko katika Bank of England Uingereza

View: https://m.youtube.com/watch?v=ql7hRR5sA08
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba, amesema kuwa hadi sasa Benki Kuu imenunua jumla ya tani 15.37 kupitia mpango wake wa ununuzi wa madini hayo, ikiwa ni hatua muhimu ya kuongeza akiba ya fedha za kigeni na kuimarisha thamani ya shilingi.. na kuwa dhahabu ya BoT imesafirishwa na kuhifadhiwa ktk benki kuu ya Uingereza yaani Bank of England


15 February 2026
Lusaka, Zambia

Rais HH Asifiwa~Kashfa ya Usafirishaji wa Shaba Nje ya Nchi - Antonio Mwanza Atishia Kupigwa Marufuku kwa Usafirishaji Nje ya Nchi​


View: https://m.youtube.com/watch?v=KtSs4x7eWMc
Je, Zambia inapoteza utajiri wake kupitia mauzo ya shaba yenye utata? Katika uchanganuzi huu mkubwa, Antonio Mwanza analaani vikali uchimbaji na uuzaji wa shaba ya Zambia kwa maslahi ya kigeni, akiahidi kushinikiza marufuku ya usafirishaji wa shaba nje. Anaibua wasiwasi mkubwa kuhusu kulinda maliasili za Zambia na kuhakikisha raia wananufaika kwanza. Mwanza pia inatoa shukrani kwa Rais Hakainde Hichilema na Jeshi la Zambia kwa kuwaondoa wachimbaji haramu na kuimarisha usalama wa taifa. Hii ina maana gani kwa uchumi, siasa, na sera za uchimbaji madini za Zambia? Kuhusu Wilson Chishala, tunachambua siasa za Zambia, shughuli za Bunge, na hadithi za kitaifa zinazovuma kwa njia ya kuelimisha lakini yenye kuvutia kwa vijana, wazazi, wataalamu, na raia wa kila siku.

President HH Praised~Copper Export Scandal – Antonio Mwanza Threatens Export Ban​

Is Zambia losing its wealth through controversial copper exports? In this explosive breakdown, Antonio Mwanza strongly condemns the mining and sale of Zambia’s copper to foreign interests, vowing to push for a ban on copper exportation. He raises serious concerns about protecting Zambia’s natural resources and ensuring citizens benefit first.Mwanza also extends gratitude to President Hakainde Hichilema and the Zambia Army for removing illegal miners and strengthening national security. What does this mean for Zambia’s economy, politics, and future mining policies?On Wilson Chishala, we break down Zambian politics, Parliament proceedings, and trending national stories in an informative yet engaging way for youths, parents, experts, and everyday citizens.
Source : Wilson Chishala
 
Back
Top Bottom