Benki Kuu ya Tanzania: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya Serikali

Kwani Liberia wao dhahabu yao wanahifadhi wapi mbona hazina yao ya dhahabu ni kubwa kuliko nchi yoyote Afrika?

Hapa kuna harufu ya upigaji live.
Serikali waache sarakasi. Hakuna Nchi kwa dunia ya leo isiyopenda kuwa na shehena/hifadhi ya dhahabu ya kutosha make ndo amana pekee na utambulisho wa ukwasi inapotokea janga chap mnauza kukabiliana nalo.
 
Syo kibaigwa dumila tu hapo,mm mwenyewe kitambo nakusanya vijigram huko kusini navitunza
Alafu kwa dhahabu tuliyokuwa nayo hao central bank walitakiwa wawe na zaidi ya hizo tani
Kwenye reserve yao

Ova
Hatuwezi kuwa na Reserve ya kutosha kwa sababu ya wizi..
 
Haya mambo ndiyo yanasabisha elimu ya tanzania, research na takwimu,vyuo vyaTanzania kuonekana ya hovyo kimataifa Kwa sababu haina msaada wowote kwenye jamii
 
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali.

Akizungumza mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro, amesema madai hayo si ya kweli.

Ameeleza kuwa kinachotekelezwa ni mpango wa kuuza dhahabu iliyozidi kiwango kilichoidhinishwa, kwa lengo la kusawazisha mizania ya hifadhi ya dhahabu ya benki hiyo.

Kwa mujibu wa Akaro, bodi ya BoT imeidhinisha benki hiyo kuwa na hifadhi ya dhahabu isiyozidi dola za Marekani bilioni mbili, wakati thamani ya sasa imefikia dola bilioni 3.24, hivyo kutokana na tofauti hiyo, benki inapanga kuuza kiasi kilichozidi kiwango kilichowekwa.

Amefafanua kuwa fedha zitakazopatikana kutokana na mauzo hayo zitawekezwa katika masoko ya fedha ya kimataifa kwa lengo la kuongeza mapato ya uwekezaji, na si kwa ajili ya kufadhili miradi ya serikali.

Akaro amesisitiza kuwa BoT ni chombo huru, na uamuzi wowote wa kutumia uwekezaji wake kufadhili miradi ya serikali unahitaji idhini ya Bunge.

Hadi jana Januari 29, 2026, BoT ilikuwa na akiba ya fedha za kigeni yenye thamani ya dola bilioni 6.52, na kati ya hizo, dhahabu inakadiriwa kuwa dola bilioni 1.2, dola za Marekani bilioni 3.8, na sarafu ya China (yuan) dola milioni 735.

Pia Soma
Hawa wapuuzi bora wangekaa kimya tu. Hii kutumwa na wanasiasa wanajichoresha tu.
 
Syo kibaigwa dumila tu hapo,mm mwenyewe kitambo nakusanya vijigram huko kusini navitunza
Alafu kwa dhahabu tuliyokuwa nayo hao central bank walitakiwa wawe na zaidi ya hizo tani
Kwenye reserve yao

Ova
Yaani Mzee wa Kino sijawaelewa kabisa hawa BOT
 
Kwa mujibu wa gavana Tutuba wana akiba ya dhahabu tani 15.37. Ambayo kwa leo thamani yake ni $2.34 bilioni.
Sasa hiyo dhahabu ya $3.24 bilioni anayosema huyo mdau wa BOT wametoa wapi?
Wenda ni kuanzia awamu zilizo tangulia, lakini swali zipo na shida gani hata zikiwa mara tano ya hii hesebu, si imetunzwa tu , binafsi naona tuwe na watu wa kuiongeza mara dufu hata mara mia , kama wapo vyura nchi inawalipia huko nje gharama za kuwatunza ,sembuse hii , ambayo ipo imetulia tu , tuache taamaa za kipumbavu
 
Utamuachia uhuru mwizi si utakuta kamaliza kihenge chote!! Huyu mama bila kumthibiti wajanja waliomzunguka wataiba kila kitu na yeye wakati yupo anaimba taarab ; ndio maana WATANGANYIKA lazima tupige kelele sana ama sivyo dhahabu yote itapelekwa Oman kwa wajomba.
Alichoandika ni upotoshaji ule ule wa kila siku. Ipo imani potofu kwamba Rais na watu wake wa karibu ni mafisadi wasio na huruma na taifa hili.

Hii imani imeshawakaa watu vichwani, kwa bahati mbaya inajengwa kwa kutegemea fitina.

Uzushi, uongo, fitina siku zote hutengeneza dhambi mbaya kwenye jamii. Hata ukiwasikiliza wale vijana wa October 29 unagundua kwamba walikuwa wakilishwa uzushi mwingi mpaka ukakaa vichwani mwao wakauamini.

Inasikitisha sana hali ya namna hiyo, fitina huleta dhambi kwenye nchi dhambi siku ya malipo yake inakuja na majanga makubwa.
 
Kilichouzwa na kiwango cha juu, imeuzwa ziada ya kile kinachotakiwa kipatikane.

Masuala ya kiuchumi tofauti na yale ya kisiasa.
H
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali.

Akizungumza mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro, amesema madai hayo si ya kweli.

Ameeleza kuwa kinachotekelezwa ni mpango wa kuuza dhahabu iliyozidi kiwango kilichoidhinishwa, kwa lengo la kusawazisha mizania ya hifadhi ya dhahabu ya benki hiyo.

Kwa mujibu wa Akaro, bodi ya BoT imeidhinisha benki hiyo kuwa na hifadhi ya dhahabu isiyozidi dola za Marekani bilioni mbili, wakati thamani ya sasa imefikia dola bilioni 3.24, hivyo kutokana na tofauti hiyo, benki inapanga kuuza kiasi kilichozidi kiwango kilichowekwa.

Amefafanua kuwa fedha zitakazopatikana kutokana na mauzo hayo zitawekezwa katika masoko ya fedha ya kimataifa kwa lengo la kuongeza mapato ya uwekezaji, na si kwa ajili ya kufadhili miradi ya serikali.

Akaro amesisitiza kuwa BoT ni chombo huru, na uamuzi wowote wa kutumia uwekezaji wake kufadhili miradi ya serikali unahitaji idhini ya Bunge.

Hadi jana Januari 29, 2026, BoT ilikuwa na akiba ya fedha za kigeni yenye thamani ya dola bilioni 6.52, na kati ya hizo, dhahabu inakadiriwa kuwa dola bilioni 1.2, dola za Marekani bilioni 3.8, na sarafu ya China (yuan) dola milioni 735.

Pia Soma
Sasa kama hatuuzi kugharimikia miradi , ila tunauza kupunguza wingi wake, hivi ni uchumi upi huu, maana aya ni mawe yapo , sio kuprint fedha , ambayo inaweza kuwa na adhali moja kwa moja kwenye uchumi, sasa kuyaifadhi ayo mawe ,hata yafike hatua kwamba siku taifa inayatoa basi yawe na uwezo wa kutoa bajeti ya nchi kwa miaka 3 kuna shida gani?

Yani taifa hili lipo tiyari nunua mav8 ambayo huchakaa ila kua na akili ya kuongeza reserve ya madini ya kutosha haka .

Nchi hii vilaza wameteka nchi kwa kivuli cha uchumi uchwara, pumbavu sana,

Pale Chamwino ikulu yapo mawe ya kawaida sana wala hakuna anaeyasumbua , ila ila mawe ya pesa kama dhahabu ndo kila mtu anayatolea macho.

Mnauza iyo dhahabu pesa yake peleka wapi ,ili hali mnasema ,haiuzwi kisa miradi , BOT IFUMULIWE , na kuweka watu wenye uwezo , ujinga mtupu
 
Hili suala lina utaalamu kuliko uuzaji wa dhahabu pekee, tungepata mchumi sahihi angeliweka sawa vizuri zaidi.
 
Uzushi, uongo, fitina siku zote hutengeneza dhambi mbaya kwenye jamii. Hata ukiwasikiliza wale vijana wa October 29 unagundua kwamba walikuwa wakilishwa uzushi mwingi mpaka ukakaa vichwani mwao wakauamini.
Kutekwa watu uzushi?
Wako wapi Mdude, Soka, Polepole na Ali Kibao?
Huo mfano mmoja tu.
Naweza kukuuliza maswali mengi tu ukakosa majibu sahihi.
 
Utekaji unaweza kusababishwa na wanaotekwa wenyewe, usidhani Tanzania peke yetu watu wanatekwa.

Watu wanadhulumiana wanatekana, wanachukuliana wake au waume wanatekana, wakioneana wivu wanatekana. Sababu zipo nyingi sio za kisiasa pekee.

Upo ushahidi CHADEMA wamewateka na kuwadhuru wenzao wakijua kwamba jumba bovu litawaangukia CCM, ni michezo michafu ya kisiasa.
 
Alichoandika ni upotoshaji ule ule wa kila siku. Ipo imani potofu kwamba Rais na watu wake wa karibu ni mafisadi wasio na huruma na taifa hili.

Hii imani imeshawakaa watu vichwani, kwa bahati mbaya inajengwa kwa kutegemea fitina.

Uzushi, uongo, fitina siku zote hutengeneza dhambi mbaya kwenye jamii. Hata ukiwasikiliza wale vijana wa October 29 unagundua kwamba walikuwa wakilishwa uzushi mwingi mpaka ukakaa vichwani mwao wakauamini.

Inasikitisha sana hali ya namna hiyo, fitina huleta dhambi kwenye nchi dhambi siku ya malipo yake inakuja na majanga makubwa.
Hii sio fitina ni ukweli kuwa Samia ni mwizi na ndio maana amezungukwa na mafisadi papa wakina Angella Kizigha walioiba mabillini ya fedha kupitia tenda za majeshini!! Huyu mama ni mshirika wa wezi hata pia kupitia kwa mwanae Abdul ambaye anafanya biashra kwa karibu na mafisadi papa wa nchi hii wakina Rostam Aziz!!
Sasa unataka ushahidi gani zaidi kuwa Samia ni mwizi zaidi ya yeye kuzungukwa na wakwe zake na watoto na nduguze wa karibu kuteuliwa kwenye strategic positions!! Hata waume wa zamani wa watoto wake nao wamepewa uDC! Huyu mama hafai , the sooner she is sent to The Hague the better for the country as she is currently depleting our national Gold Reserve to finance her indictment!!!
 
Chuki inakupotezea muda itaishia kukuzeesha. Hayo yote unayoyasema ukiambiwa mbele ya jaji mahakamani uweke ushahidi hadharani nina uhakika huwezi, msingi wake ni chuki za kipuuzi tu.

Yale yale ya tuhuma nyingi alizopewa hayati JPM, alipoaga dunia ikaja kujulikana wazi kwamba chuki dhidi ya mafanikio yake ndio chanzo cha malalamiko mengi.
 
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali.

Akizungumza mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro, amesema madai hayo si ya kweli.

Ameeleza kuwa kinachotekelezwa ni mpango wa kuuza dhahabu iliyozidi kiwango kilichoidhinishwa, kwa lengo la kusawazisha mizania ya hifadhi ya dhahabu ya benki hiyo.

Kwa mujibu wa Akaro, bodi ya BoT imeidhinisha benki hiyo kuwa na hifadhi ya dhahabu isiyozidi dola za Marekani bilioni mbili, wakati thamani ya sasa imefikia dola bilioni 3.24, hivyo kutokana na tofauti hiyo, benki inapanga kuuza kiasi kilichozidi kiwango kilichowekwa.

Amefafanua kuwa fedha zitakazopatikana kutokana na mauzo hayo zitawekezwa katika masoko ya fedha ya kimataifa kwa lengo la kuongeza mapato ya uwekezaji, na si kwa ajili ya kufadhili miradi ya serikali.

Akaro amesisitiza kuwa BoT ni chombo huru, na uamuzi wowote wa kutumia uwekezaji wake kufadhili miradi ya serikali unahitaji idhini ya Bunge.

Hadi jana Januari 29, 2026, BoT ilikuwa na akiba ya fedha za kigeni yenye thamani ya dola bilioni 6.52, na kati ya hizo, dhahabu inakadiriwa kuwa dola bilioni 1.2, dola za Marekani bilioni 3.8, na sarafu ya China (yuan) dola milioni 735.

Pia Soma
Viongozi wa Tanzania wana matatizo ya akili. just to say. Yaani mara waseme hivi halafu kesho wanabadilisha. Huu ni upumbavu mkubwa. Kitila Mkumbo kasema wanauwa ili kusapoti miradi iliyokwama kwa sababu hatujapewa pesa na wadau wa maendeleo . Huyu anaongea kitu ambacho hakielewekI. Kuna kipindi dhahabu zinazidi zinahitaji zipunguzwe? Ebu acheni utani wenu....pimbi nyie.
 
Chuki inakupotezea muda itaishia kukuzeesha. Hayo yote unayoyasema ukiambiwa mbele ya jaji mahakamani uweke ushahidi hadharani nina uhakika huwezi, msingi wake ni chuki za kipuuzi tu.

Yale yale ya tuhuma nyingi alizopewa hayati JPM, alipoaga dunia ikaja kujulikana wazi kwamba chuki dhidi ya mafanikio yake ndio chanzo cha malalamiko mengi.
Unataka ushahidi kuhusu Angella Kizigha na tenda za polisi? Magufuli alikwisha mfungulia kesi ambayo walikuja ifuta wakina Samia baada ya Magufuli kufa!! Unataka ushahidi kuwa Abdul anafanya biashara na Rostam Azizi na kuwa Samia amenunua nyumba Dubai ambayo hivi sasa mwanae anaitumia kujificha wakati huu anapotafutwa kwa mauaji ya vijana wetu baada ya maandamano ya 29 October? Kila kitu nilichosema hapo kina ushahidi ikiwa ni pamoja ya kumtumia nduguye aliyempa ubalozi huko Oman kuweza kuficha dhahabu aliyotuibia.
 
Viongozi wa Tanzania wana matatizo ya akili. just to say. Yaani mara waseme hivi halafu kesho wanabadilisha. Huu ni upumbavu mkubwa. Kitila Mkumbo kasema wanauwa ili kusapoti miradi iliyokwama kwa sababu hatujapewa pesa na wadau wa maendeleo . Huyu anaongea kitu ambacho hakielewekI. Kuna kipindi dhahabu zinazidi zinahitaji zipunguzwe? Ebu acheni utani wenu....pimbi nyie.

Nyie pimbi mna tani 15 tu za dhahabu mnasema dhahabu zimezidi mnataka kuuza ili kutunza mizania!! Nyie kweli mna akili ? Wenzenu Thailand wana Tani 235 na bado wanakusanya kwani mnadhani wao hawajui umuhimu wa kutunza dhahabu kwa maslahi ya nchi yao?
Mmejaza wabunge wajinga ndani ya bunge lenu wanaimba taarabu tu hawajui hata maana ya strategic gold reserve ; wanabwabwaja tu humo bungeni na kuunga mkono hoja za kijinga!
 
Unataka ushahidi kuhusu Angella Kizigha na tenda za polisi? Magufuli alikwisha mfungulia kesi ambayo walikuja ifuta wakina Samia baada ya Magufuli kufa!! Unataka ushahidi kuwa Abdul anafanya biashara na Rostam Azizi na kuwa Samia amenunua nyumba Dubai ambayo hivi sasa mwanae anaitumia kujificha wakati huu anapotafutwa kwa mauaji ya vijana wetu baada ya maandamano ya 29 October? Kila kitu nilichosema hapo kina ushahidi ikiwa ni pamoja ya kumtumia nduguye aliyempa ubalozi huko Oman kuweza kuficha dhahabu aliyotuibia.
Sio vizuri kumsema vibaya aliyekwisha kutangulia mbele ya haki, kwa taarifa ya ndani kabisa JPM alikuwa ana wachina marafiki wenye kuitaka ile biashara ya kuwavisha magereza akakuta Mama Kizigha anaifanya wakati ule alichokifanya ni kwenda kule magereza na kujifanya mzalendo kwa kumsema vibaya Kizigha akiwa na lengo la kuichukua ile biashara.

Yule Mama alipopokonywa biashara akampatia mchina wake, yeye mwenyewe kwa sababu ya majukumu ya kuongoza nchi akashindwa kuwa karibu na mchina, akamkabidhi kwa yule jamaa yake mweupe alikuwa anafuga mustachi akasimamia uendeshaji mzima wa biashara ya hizo nguo za askari magereza. Huku mtaani tukampa utukufu JPM kwamba ni mzalendo anayepambana na mafisadi wakati alichokifanya ni dhuluma kwa Mama Kizigha ili biashara ampokonye aichukue yeye mwenyewe!.

Abdul kaanza kufanya biashara kabla SSH ajawa makamu wa Rais, mimi na wewe tumemfahamu wakati mama yake tayari keshakuwa Rais, kwa hiyo aache kufanya biashara kisa sisi tumemjua baada ya mzazi wake kukabidhiwa urais wa nchi?. Punguza nongwa na fikra za vijiweni.

Mama Sitti enzi zile walisema anamiliki lile ghorofa linalotazama na Mahakama ya Kisutu, kumbe lile jengo ni mali ya wahindi fulani.

Ridhiwani Kikwete walisema anamiliki ukumbi wa harusi huku Mbezi Beach jengo lenye kutazamana na maghorofa ya BOT, Mmiliki wa lile jengo ni Mzee mmoja tunasali nae kanisani.

Tunapenda sana kuchuma dhambi kijinga tu. Siku ile wale vijana walichoma vituo vya Lake Oil wakisema kwamba ni mali ya JK, vile vituo ni mali ya Ali Edha Awadh JK hana uhusiano wowote na yule kijana.

Hakuna anayekuibia piga kazi acha kutafuta maadui ambao wanaishia kukuongezea chuki na ubaguzi moyoni mwako.
 
Back
Top Bottom