Benki Kuu ya Tanzania: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya Serikali

Benki Kuu ya Tanzania: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya Serikali

January 30, 2026
Tanzania's Gold Reserve Sale

Tanzania's Gold Reserve Sale: Data-Driven Economic Analysis | TICGL Tanzania's Gold Reserve Sale: Data-Driven Economic Assessment Is Tanzania Trading Long-Term Economic Security for Short-Term Fiscal Relief? Gold Reserves Value $1.3B Current Gold Price $5,520/oz Annual Price Increase +64% Donor Aid Decline -84% Introduction Tanzania's decision to sell part of its gold reserves marks a pivotal […]

Tanzania's Gold Reserve Sale: Data-Driven Economic Assessment​

Is Tanzania Trading Long-Term Economic Security for Short-Term Fiscal Relief?

Gold Reserves Value
$1.3B
Current Gold Price
$5,520/oz
Annual Price Increase
+64%
Donor Aid Decline
-84%

Introduction​

Tanzania's decision to sell part of its gold reserves marks a pivotal shift in the country's macroeconomic strategy, raising a fundamental question about the balance between immediate fiscal needs and long-term economic resilience. As of December 2025, Tanzania's gold reserves were valued at approximately TZS 3.3 trillion (USD 1.3 billion)—equivalent to about 250,968 ounces (7,810 kg)—and form a critical component of the country's USD 6.2 billion total foreign exchange reserves, which currently provide around five months of import cover.

Key Context: Gold has traditionally acted as a strategic buffer for Tanzania, offering protection against external shocks, currency depreciation, and inflation. However, unprecedented fiscal pressures have pushed the government toward monetizing this long-term asset to meet short-term financing needs.

The Perfect Storm: Converging Crises​

The immediate trigger for this policy shift is the dramatic collapse in external donor support. Official Development Assistance (ODA) to Tanzania has fallen sharply, declining by 84% from USD 761 million in 2013 to just USD 118 million in 2025, with further reductions of 9–17% projected for 2025–2026.

Critical Impact: The suspension of €156 million (USD 181 million) in European Union support following the disputed 2025 election, combined with an 86% freeze of U.S. foreign aid programs, has created acute financing gaps. Approximately 5,000 healthcare workers have been laid off, and antiretroviral drug stockpiles have reportedly fallen to just four months of coverage.
Collapse of Official Development Assistance to Tanzania (2013-2026)

Infrastructure Financing Gap​

At the same time, Tanzania faces a widening infrastructure financing gap. The 2025/26 national budget stands at TZS 56.49 trillion (USD 22.07 billion), with TZS 16.4 trillion allocated to development expenditure, yet priority projects alone require more than USD 10 billion in financing....

READ MORE :

 
Kumanina kabisa, yaan NCHI zinajikusanyia Dhahabu matan kwa matani, WAO wanasema wamekusanya kupita Kiasi
Tuna watu wa hovyo kabisa kuwahi kutokea kuongoza taasisi zetu.

Wakati mataifa yanayojitambua kama China na Poland wanatafuta dhahabu kwa udi na uvumba wewe unauza.

Hukuna viongozi hapa ndugu zangu.
 
Ameeleza kuwa kinachotekelezwa ni mpango wa kuuza dhahabu iliyozidi kiwango kilichoidhinishwa, kwa lengo la kusawazisha mizania ya hifadhi ya dhahabu ya benki hiyo.😂
Kwani zikizidi zitaoza au nafasi ndogo?
Kwamba hizo dhahabu zimeshajaza ghorofa zima la BOT hawana pahala pa kuzihifadhi tena?!😂
 
Marekani wanakusanya dhahabu Dunia yote uliwahi sikia kuwa kuna kiwango Cha kukusanya.
 
Serikali ya kidikteta ya Samuya, bunge lake haramu la chama kimoja na BOT wanasema ni hifadhi kubwa sana ya dhahabu na hifadhi hiyo wameitunza kwa kuiweka nje ya nchi.
😂😂😂😂😂😂😂 yani unajitapa una dhahabu halafu umeiweka nchi jirani
 
Hawa mapimbi wanatuchukuliaje?
yaani dhahabu toka lini inazidi kiwango!
 
Wamepima upepo wakaona raia wameona ni uzwazwa sasa wanaligeuza geuza ila dhamira ikishawekwa hata wakiuza $1 million ya hio dhahabu ni wao tu.😂
Wao wauze watupe mgao wetu wananchi hatutaki kusikia story za miradi TUNAIJUA HIYO 😹😹
 
Hiyo sheria inataja thamani ya hiyo dhahabu au kiwango cha uzito?

Na ni busara gani hiyo imetumika kuuza dhahabu ambayo thamani yake bado inapanda kwa kasi ili kwenda kuwekeza katika maeneo ambayo yana faida ndogo zaidi na ambayo yana risk kubwa zaidi?

Hawa watu wamesikiliza hotuba ya hivi karibuni ya Waziri Mkuu wa Canada kule Davos kwenye World Economic Summit?
Inafikirisha sana, nakumbuka kuna kipindi Magufuli aliwasema sana BOT kwa kitendo cha kutunza pesa za kigeni badala ya kuweka hifadhi ya dhahabu ambayo siku zote inaongezeka thamani.

Sasa inakuwaje kukawa na hiyo sheria ya bodi inayoweka kikomo ilhali tulitaka tuende kwenye shehena kunwa kama yalivyofanya mataifa mengine.

Kipi rahisi kati ya kuuza kitu ambacho unajua kabisa unaemuuzia leo kesho akiingia sokoni atapata faida kubwa, ama kubadilisha hiyo sheria ili tuwe na kiwango kikubwa cha shehena kinachoruhusiwa?

Ni mambo mangapi yapo kinyume cha sheria za udhibiti na yanaendelea kutekwlezwa? Hili ndo lina madhara makunwa zaidi?
 
Ha
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali.

Akizungumza mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro, amesema madai hayo si ya kweli.

Ameeleza kuwa kinachotekelezwa ni mpango wa kuuza dhahabu iliyozidi kiwango kilichoidhinishwa, kwa lengo la kusawazisha mizania ya hifadhi ya dhahabu ya benki hiyo.

Kwa mujibu wa Akaro, bodi ya BoT imeidhinisha benki hiyo kuwa na hifadhi ya dhahabu isiyozidi dola za Marekani bilioni mbili, wakati thamani ya sasa imefikia dola bilioni 3.24, hivyo kutokana na tofauti hiyo, benki inapanga kuuza kiasi kilichozidi kiwango kilichowekwa.

Amefafanua kuwa fedha zitakazopatikana kutokana na mauzo hayo zitawekezwa katika masoko ya fedha ya kimataifa kwa lengo la kuongeza mapato ya uwekezaji, na si kwa ajili ya kufadhili miradi ya serikali.

Akaro amesisitiza kuwa BoT ni chombo huru, na uamuzi wowote wa kutumia uwekezaji wake kufadhili miradi ya serikali unahitaji idhini ya Bunge.

Hadi jana Januari 29, 2026, BoT ilikuwa na akiba ya fedha za kigeni yenye thamani ya dola bilioni 6.52, na kati ya hizo, dhahabu inakadiriwa kuwa dola bilioni 1.2, dola za Marekani bilioni 3.8, na sarafu ya China (yuan) dola milioni 735.

View attachment 3536703
Pia Soma
Hata kama imezidi kiwango kwani dhahabu inaoza ? Inaleta mfumuko wa bei? Acha iongezeke mara dufu,

Tumetoa mbadala chukueni mkoa mmoja mpe USA kwa shariti la kutoa bajeti ya nchi hii kwa mwaka mzima , kwa miaka 20, ila wizara zote top ten leaders kila wizara iwe juu yao , maana nchi imejaa wezi wengi , mpka miaka 20 taifa ,litakua limejikomboa, wawekezaji , wafanya biashara , wajasiliamali , watakua wamejipanga

Lakini mda huo tutakua na nchi ya Marekani ndani ya nchi ,

Hatuwezi endelea na drama wakati tuna nchi yenye laslimali kila eneo kila ardhi , alafu tupo na watu wanaangalia madini tu kama suruhu, hatuna maono , na taifa hili , tumeshindwa.

Kodi kila kona, tozo kila kona , ushuru kila kona , mahamuzi magumu ni sasa
 
Kwa mujibu wa Akaro, bodi ya BoT imeidhinisha benki hiyo kuwa na hifadhi ya dhahabu isiyozidi dola za Marekani bilioni mbili, wakati thamani ya sasa imefikia dola bilioni 3.24
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba, amesema kuwa hadi sasa Benki Kuu imenunua jumla ya tani 15.37
Kwa mujibu wa gavana Tutuba wana akiba ya dhahabu tani 15.37. Ambayo kwa leo thamani yake ni $2.34 bilioni.
Sasa hiyo dhahabu ya $3.24 bilioni anayosema huyo mdau wa BOT wametoa wapi?
 
Wajinga waliisha .
downloadfile-185.png


Ujinga uliokuwepo 1970 hauwezi kuulinganisha na sasa .

Wajipange tena kuja na script nyingine kujisafisha na kumsafisha muuaji.
 
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kufadhili miradi ya kimkakati ya serikali.

Akizungumza mkoani Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Masoko ya Fedha wa BoT, Emmanuel Akaro, amesema madai hayo si ya kweli.

Ameeleza kuwa kinachotekelezwa ni mpango wa kuuza dhahabu iliyozidi kiwango kilichoidhinishwa, kwa lengo la kusawazisha mizania ya hifadhi ya dhahabu ya benki hiyo.

Kwa mujibu wa Akaro, bodi ya BoT imeidhinisha benki hiyo kuwa na hifadhi ya dhahabu isiyozidi dola za Marekani bilioni mbili, wakati thamani ya sasa imefikia dola bilioni 3.24, hivyo kutokana na tofauti hiyo, benki inapanga kuuza kiasi kilichozidi kiwango kilichowekwa.

Amefafanua kuwa fedha zitakazopatikana kutokana na mauzo hayo zitawekezwa katika masoko ya fedha ya kimataifa kwa lengo la kuongeza mapato ya uwekezaji, na si kwa ajili ya kufadhili miradi ya serikali.

Akaro amesisitiza kuwa BoT ni chombo huru, na uamuzi wowote wa kutumia uwekezaji wake kufadhili miradi ya serikali unahitaji idhini ya Bunge.

Hadi jana Januari 29, 2026, BoT ilikuwa na akiba ya fedha za kigeni yenye thamani ya dola bilioni 6.52, na kati ya hizo, dhahabu inakadiriwa kuwa dola bilioni 1.2, dola za Marekani bilioni 3.8, na sarafu ya China (yuan) dola milioni 735.

View attachment 3536703
Pia Soma
Mkoa wa wakina nshomile wapewe USA, tutakoma ,ila hakuna namna , pale USA wataweka base zao ziwa Victoria, Mseveni na mwanae tuone kama watainua kamdomo tena , Rwanda , na wajinga wengine kama watasema lolote , so bk itakua Marekani , anzia Mwanza ndo tz .

Kuna kabila husema bora mpoteza mwanao mmoja kwa kafara za utajiri ili lisha ukoo mzima.
 
Back
Top Bottom