Benki Kuu ya Tanzania yatoa maagizo juu ya uendeshaji wa Fedha za Kigeni

Hata wadhibiti kwa kiwango gani iwapo wananchi wamechoshwa haitosaidia. Muhimu kuwepo na elimu ya uraia ili wapiga kura wajitambue kama WAJUMBE.
 
Hii sera huenda ni mahususi katika kudhibiti uingiaji wa fedha za kigeni kutoka nje bila kupigwa darubini na serikali. Hususani huu wakati wa uchaguzi na pia kupelekea kutowapa vyama vya upinzani nafasi ya kuweza kupokea hela toka nje bila darubini. Hii pia itaathiri huduma za vitu kama Western Union, MoneyGram n.k hasa fedha zinapokuwa nyingi na maelezo yasiyotosheleza. Kwa hiyo tutegemee usumbufu kwenye uingizaji wa fedha toka nje mpaka baada ya uchaguzi..😳
 
Sidhani hii Kam ni sera yakiuchumi tuko nyuma sanaa tunahitaji walioelimika kutufikisha mahali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…