Benki kuuza nyumba ya mteja iliyowekwa dhamana kwa bei ya kutupwa

Benki kuuza nyumba ya mteja iliyowekwa dhamana kwa bei ya kutupwa

Mshauri aendelee na maisha yake, maana aliye nje ndio mwenye makosa, life goes on maana alie ndani ata endelea ku apeal tu!
Vipesa kiduchu alivyo baki navyo heri atafute cha kufanya maana asipo kuwa mwangalifu mawakili watazimaliza zote walahi!View attachment 897969
Eeh mr,so kwako wewe hiyo nyumba ishaenda aiache tu etii. Kwa mtazamo wako kitu kinaitwa sheria hakipo ni porojo tu?
 
Eeh mr,so kwako wewe hiyo nyumba ishaenda aiache tu etii. Kwa mtazamo wako kitu kinaitwa sheria hakipo ni porojo tu?
It depends walahi
You have to choose your battles, kwa case yake inaweza kuchukua hata miaka kumi ya toil and suffering na akashindwa vile vile!
 
Ndiyo maana najivunia kuwa member wa JF kwani kimsingi kuna watu makini wenye majibu sahihi kwenye maswali magumu kwa wakati sahihi.
Niwashukuruni saana wataalamu wangu,ktk hili mmenikidhia haja yangu na huyu ndugu yangu. Ni kesho tu namwandamanisha kwa wanasheria tuianze safari ya kuitafuta haki,maana kuna mijitu(MUNGU anisamehe) imekuwa michovu ya kutafuta mali kwa njia halali na badala yake imebaki kusubir watu waliopata matatizo tu ili yaweke dhuluma..!
Karibu sana mkuu, nakutakia kila la heri.

cc Malcom Lumumba
 
“Once a Mortgage, Always a Mortgage” Haya mabenki wanapata wapi nguvu na ujasiri wa kuuza nyumba za watu kirahisi, sheria ya ardhi inayohusiana na mortagage iliishia wapi?
 
Kama jamaa aliibiwa na alitoa taarifa polisi nayo inaweza kumsaidia
Kwasababu ukiomba mkopo wa 10m hawatakupa total 10m kwasababu watakata karibia 3% ya bima kama kuna majanga yoyote yatatokea ikiwemo wizi basi bima hiyo itafidia
 
Ndugu zangu wataalamu wa Sheria ninaombeni mnisaidie kunifafanulia suala hili;
Kuna jamaa yangu alichukua mkopo wa Tshs. 10m kwenye moja ya benki hapa nchini,ambapo aliweka nyumba yake anayoishi na familia. Mkataba ulikuwa ni wa mwaka mmoja. Miezi miwili baada ya kupata mkopo huo,jamaa alivamiwa na majambazi na alinyang'anywa fedha zote.(alikuwa na biashara ya M-Pesa). Hivyo jamaa alikwama kurejesha kwa wakati. Benki iliamua kuuza nyumba yake hata bila notisi (kwa maelezo yake). Ile nyumba iliuzwa tshs 9.9m tu lkn ni nyumba kubwa sana. Yeye mwenyewe anadai wakati anakopa kwenye mkataba maafsa wa benki waliikadiria kwa tshs. 50m,na wakat wanauza deni lake la mkopo lilikuwa tshs. 7.8m na waliuza nyumba miezi 4 kabla ya mkataba kuisha. Baadaye walikuja kumtoa nje kwa fujo na uharibifu wa vyombo vyake vingi sana.
Je,kwa mazingira hayo huyu jamaa afanye nini au ndiyo nyumba imeondoka hivyo?
Msaada wenu tafadhali ndg zangu

kama uliweza kujenga nyumba ya milioni 50 kwa nini ulikopa.swali huwa lina nifanya nijipinde tu kama nilivo jenga ili nipate pesa
 
“Once a Mortgage, Always a Mortgage” Haya mabenki wanapata wapi nguvu na ujasiri wa kuuza nyumba za watu kirahisi, sheria ya ardhi inayohusiana na mortagage iliishia wapi?
Mkuu principle uliyoiandika hapo ina-aply pale tu mtu atakapomaliza mkopo wake benki inapaswa kumrudishia nyumba na si vinginevyo.
 
Boss ndiyo sababu nimeanzia kwa wataalamu tulionao humu ndani ili nipate picha ya kile tunaweza tufanye..ahsante!
Kwa kuwa huku unapewa ushauri bila ya kuchajiwa,unamlostisha mwenzako mpeleke kwa Mwanasheria suala lake lishughulikiwe haraka,sio unakuja huku unadesa then unaenda kumjibu jamaa yako
 
kama uliweza kujenga nyumba ya milioni 50 kwa nini ulikopa.swali huwa lina nifanya nijipinde tu kama nilivo jenga ili nipate pesa
Biashara inao msukumo wa asili kukupeleka kukopa. Labda km huishi kwa kazi ya ujasiriamali
 
Mahakama ikibatilisha tu uuzwaji ananyang'anywa inarudi kwenye possession bank cuz ya mkopo but ownership inabaki kwa huyo ndugu/frnd wako. Alieuziwa ata-deal na bank baada ya kunyang'anywa na mahakama.
Ni ngumu mahakama kubatilisha hayo mauzo maana Mnunuzi anachukuliwa kama Bonafide purchaser kwahiyo remedy rahisi ni kulipwa fidia na bank
 
Ni ngumu mahakama kubatilisha hayo mauzo maana Mnunuzi anachukuliwa kama Bonafide purchaser kwahiyo remedy rahisi ni kulipwa fidia na bank
Talking ov experience, tumelamba kichwa cha mtu na CRDB kulikuwa na scenario kama hii
 
Back
Top Bottom